Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Nipo pouwa kabisa...mambo mengi tu..nataka nistaafu kabisa kuingia JF!
Ukiondoka wanajamii hawatakubali hata kidogo....ukitaka kuamini we potea hata kwa week moja utaona Thread toka kwa wana JF inasema "Jamani NAM-MISS REJAO YUKO WAPI?"