Hivi Erickb52 ni receiptionist wa JF au?

libent

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
382
84
Naombeni kujuzwa suala hili, sio siri hakuna thread ya kwenye jukwaa la utambulisho ikakosa hii ID. Namshukuru sana kwa ukarimu wake maana hata na mimi alinikaribisha
 
Zamani alikuwa Katavi, labda kamwachia majukumu, sio mbaya aendelee kukaribisha wageni!
 
Naombeni kujuzwa suala hili, sio siri hakuna thread ya kwenye jukwaa la utambulisho ikakosa hii ID. Namshukuru sana kwa ukarimu wake maana hata na mimi alinikaribisha
Nawapongeza wote wanaojikuwa jukwaa lile kutupokea maana huwa kuna raha yake jaman lol!
Nawakumbuka sana walionipokea siku ile,IGWE,Leornad Robert,kipipi,evarm,pakajimmy,vin dieseal,mytz,baba erick sijui huyu ni mwanae(Erickb52)arabianfalcon,faisi buku na wengine kibao,ki ukweli nilifurahia sana nawashukuru mnooo lol!
 
Jamaa ndio kiongozi wetu kule, mimi ni mfagizi na mpokea mizigo ya wageni.
Hahahaaa hata wewe Katavi umenigeuka aiseee???
Teh mi nilipita tu mara moja nikawaona wageni nikaamua kuwakaribisha kwa niaba ya KATAVI ila mkuu ni Katavi na Rejao
 
Nawapongeza wote wanaojikuwa jukwaa lile kutupokea maana huwa kuna raha yake jaman lol!
Nawakumbuka sana walionipokea siku ile,IGWE,Leornad Robert,kipipi,evarm,pakajimmy,vin dieseal,mytz,baba erick sijui huyu ni mwanae(Erickb52)arabianfalcon,faisi buku na wengine kibao,ki ukweli nilifurahia sana nawashukuru mnooo lol!
Ni mtoto wake wa nje....hahahaahaaaaa
 
alikuwa mkuu
naona umechukua fomu ya kugombea
nafasi
Bado nafasi ni yake mi huwa namsaidia mara chache ila kila nikimsaidia huwa nakutana na LIBENT so yeye anaona mi ndo mkuu kumbe mkuu mwenyewe yupo.
 
Halafu Bishanga analalamika umeMBLOCK kwenye PM mlegezee kidogo coz amekumiss sana...Hahahaaaa
Dah!nilifanya hivyo kwa kuogopa mkwara wa Eliza wa T.maana nasikia ni mkorofi na kamkalia Bishanga rohon,
Nimemshauri tuwasiliane kwa sms lol!
 
Bado nafasi ni yake mi huwa namsaidia mara chache ila kila nikimsaidia huwa nakutana na LIBENT so yeye anaona mi ndo mkuu kumbe mkuu mwenyewe yupo.

Dah mkuu big up sana lakini inaonekana wewe ndio kiongozi
 
Back
Top Bottom