Hivi CCM madaraka mnapeana kwa kuzingatia vigezo vipi??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Jamanai hakuna kinachonisikitisha kwa CCM kuona inachagua viongozi wasiokuwa na tija na kuwaacha watu wenye hari na mori!nakuchagua watu waliostahili kuwa viongozi wa bendi za Taarabu
Unakuta mtu eti ni waziri kwa vipindi viwili mfululizo mpaka unajiuliza huyu kwa nini alichaguliwa!!
Mfano:-
1.................
2Endeleza list!
 
Viongozi wanaoteuliwa hawachaguliwi na Wananchi. Kwa hivyo ni ndoto kudhani kuwa katika uteuzi wowote kwa yeyote aliye na mamlaka ya uteuzi atapata ushauri wa umma.Vigezo, Sifa ni mambo ya msingi.
 
Sofia Simba,Steven Wasira,Mkandara,Makinda,.......................
 
Jamanai hakuna kinachonisikitisha kwa CCM kuona inachagua viongozi wasiokuwa na tija na kuwaacha watu wenye hari na mori!nakuchagua watu waliostahili kuwa viongozi wa bendi za Taarabu
Unakuta mtu eti ni waziri kwa vipindi viwili mfululizo mpaka unajiuliza huyu kwa nini alichaguliwa!!
Mfano:-
1.................
2Endeleza list!

ndio umbea uleule mnaoukataa wana CDM,kama huyu bwana anauhakika na akisemacho kwanini asitaje majina? anaweka ..... sielewi unamaanisha nini

yaani wanaCDM sasa hivi mmekuwa ni walevi wa kashifa,hakuna jema kwenu,na ukitaka ugomvi nao basi lete baya kwa CDM ,hivi ni chama gani hapa duniani chenyewe huwa kinafanya mema tu hadi mwisho? hivi ndani ya CDM viongozi woote ni perfect?

mimi sina chama ila muda mwingine huwa mna BORE kweli
 
Kuchaguliwa na wananchi hakuna maana kuwa wana tija; wengi hata huko kuchaguliwa ilibidi wabebwe tu mfano mzuri ni Shukuru Kawambwa!!
 
kigezo kingine kinachotumiwa kupeana vyeo ndani ya magamba ni RUSHWA YA NGONO. Hii inatumika kuwapa vyeo wanawake. Si mnajua JEY KEYI alivyo chief dunga dunga?
 
Mawaziri karibia wote ni chaguo 'stupid' kabisa. Wenye kustahili ni Tibaijuka, Chami, Magufuli, Mwandosya, na wengine wachache sana. Wengine wote hawajapewa vyeo by merit bali kwa sababu alizotaja MASELEF: Ushikaji;Kulipa fadhira; Wake zetu ni marafiki;Tunatoka mkoa mmoja;

Vinginevyo kama Takukuru na Usalama wakiamua kusimamia sheria, kuna mawaziri wengi sana ambao wana kesi za kujibu - Mfano Membe aeleze hela za ghadafi anazojenga kiwanda ca saruji kwao huko zilikuwa ni hela za nini...; pia Mkullo alifukuzwa na mkapa kwa kufilisi NPF ambayo ikapelekea kuvunjwa kabisa; ana mihela kwenye account ya off shore huko Mauritius, lakini mpaka leo waziri wa fedha; Peter Noni ameteuliwa kuwa CEO wa TIB, taasisi iliyoteuliwa na rais kupokea fedha za wezi wa EPA, huku Noni mwenyewe akiwa mmoja ya wezi hao; the list is long........................................
 
Nikweli safari tunayo ila hata mimi nashindwa kuamini unakuta kiongozi hanalakusema kwa wananchi anabaki anatokwa na maneno yasiyohusu na mada!
 
ndio umbea uleule mnaoukataa wana CDM,kama huyu bwana anauhakika na akisemacho kwanini asitaje majina? anaweka ..... sielewi unamaanisha nini
yaani wanaCDM sasa hivi mmekuwa ni walevi wa kashifa,hakuna jema kwenu,na ukitaka ugomvi nao basi lete baya kwa CDM ,hivi ni chama gani hapa duniani chenyewe huwa kinafanya mema tu hadi mwisho? hivi ndani ya CDM viongozi woote ni perfect?
mimi sina chama ila muda mwingine huwa mna BORE kweli

Nimejaribu kupitia hii thread mara mbili na nimeshindwa kuona ni wapi mleta thread aliposema yeye ni mwanaCDM hapo hapo wewe hata bila kuulizwa unadai huna chama! Hiyo peke yako inatueleza mengi kuhusu engmtolera kuliko mtoa mada na sana sana inakuumbua jinsi ulivyo na sifa kama hizo hizo anazozitaja Kakakiiza. Pole sana.
 
tatizo si wao ni wanawapa kula.sasa wasile wao na familia zao?.nasisi tubaki mashabiki wao na vyama vyao.tutakuwa watazamaji tu
 
Back
Top Bottom