Hivi barua ya kiofisi unaisoma gengeni!

Nimemsikiliza mtani akiongea kuhusu barua waliyomwandikia mkuu wa nchi. Japo alijisahau mara kadhaa akisema "niliyo mwandikia"! Nafsi inanituma niamini kaandika yeye hakushirikisha wenzake. Lakini hilo sio tatizo! Tatizo haswa ni pale alipoulizwa je ikiwa hatajibiwa atafanyaje?

Ndipo ushetani ulipojichomoza! Alijibu kuwa yeye keshamkabidhi mkuu barua atake au asitake kujibu wanamuachia yeye. Swadakta tawile! Na akaulizwa tena je amempa mkuu deadline ya kujibu? Akajibu kuwa si heshima kumpangia mkuu wa nchi muda wa kujibu. Swadakta tawile!

Lakini ushetani ni huu: kama kweli ameamua kumuachia mkuu wa nchi uamuzi wa kujibu au kutojibu na akaheshimu asimpangie muda wa kujibu iweje akaisome barua hadharani?

Ni heshima sampuli gani hii? Imemuongezea nini kwa kuisoma barua hadharani? Sasa hii barua kamwandikia raisi au katuandikia sisi wote? Ni barua ya raisi tena? Kwa nini raisi aijibu wakati waliopelekewa hii barua tuko wengi sasa?

Katika hotuba yake alidai yeye ni mkubwa sana hawezi kujibizana na mtu mdogo kama DC wa Hai! Lakini ajue wakati anatusomea barua na DC wa Hai naye alikuwa msikilizaji? Naye anaweza kumjibu.

Hivi chadema wanajua maana ya BARUA YA SIRI? Confidential Letter! Hii si ingestahili kuwa confidential ili iwe nzito?

Sasa hata sisi katupatia nakala! Ngoja tumjibu maana na sie si walengwa?

Sasa hivi tunataka Serikali ishughulike na matatizo yetu na sio yako na ya kakikundi kako. Katiba mpya na Tume Mpya sio shida kwetu! Haitatuongezea chakula, matibabu, elimu wala kipato. Tunahitaji maji, mawasiliano na usafiri. Shida yako usiifanye ndio yetu.

Siku nyingine kuwa na nidhamu ya uandishi na mawasiliano. Ulichofanya ni sawa na mwanafunzi amuandikie baba yake barua kuomba pocket money halafu kabla baba hajamjibu aende sokoni aisome barua kwa wachuuzi!

Au ndio maana Selasini hakuandikiwa barua? No office ethics!
Rubbish.mnapowaapisha kwann mnatunyesha live
 
Usichokijua chadema sasa hivi wanaandaa tu mazingira ya kumpeleka jiwe the Hague na mpaka sasa wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa
 
Kutukana matusi ya nguoni hakuondoi ukweli kwamba Mbowe alifeli form iv na kupata div. zero, na kuvutwa BoT na Mtei baba mkwe wake, na yakamshinda akakimbilia u- DJ. na baadaye kuongoza SACCOS ya Baba mkwe wake. Kama akili zinakutosha utathubutuje kusoma barua ya siri hadharani? Ni ubwege
wapumbavu kama wewe hawatakaa waishe mpk mwisho wa dahari, aibu sana na hasara kwa waliokuzaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi Boss! Achana na wapiga kura wa twitter. Mtu anayejiita mtu mkubwa, M/kiti wa chama ameshindwa kuelewa tofauti ya barua na risala. Unapoandika barua tegemea kujibiwa kwa barua. Unapoigeuza kuwa ni risala, utajibiwa kwa risala. Naona anahangika sana na malidhiano. Tangu Mwanza hadi kesho. Je, amewasiliana na vyama vingine? Au anaamini nchi hii ni ya CHDEMA na CCM, basi! Imani ya kijinga maana mwakani uwezekano ni ACT kuwa chama kikuu cha Upinzani.

Bahati mbaya sana Mbowe huwa anaamini heshima anayopewa na 'baunsa' wa Bilicanas, au wapambe wa CHADEMA ndo hiyo hiyo anayoitaka kwa serikali wakati hana instruments za kiserikali. Hii ndo hunifanya kutia wasi sana kumpa heshima ya kitaifa mtu ambaye maisha yake yalikuwa ni ya mtaani.
We ni mpumbavu sana kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ni mtu mdogo? Kweli ccm ni janga la Taifa kwa kuvuruga elimu, huyo ni waziri mkuu kivuli rudi darasani ng'ombe we.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikiliza mtani akiongea kuhusu barua waliyomwandikia mkuu wa nchi. Japo alijisahau mara kadhaa akisema "niliyo mwandikia"! Nafsi inanituma niamini kaandika yeye hakushirikisha wenzake. Lakini hilo sio tatizo! Tatizo haswa ni pale alipoulizwa je ikiwa hatajibiwa atafanyaje?

Ndipo ushetani ulipojichomoza! Alijibu kuwa yeye keshamkabidhi mkuu barua atake au asitake kujibu wanamuachia yeye. Swadakta tawile! Na akaulizwa tena je amempa mkuu deadline ya kujibu? Akajibu kuwa si heshima kumpangia mkuu wa nchi muda wa kujibu. Swadakta tawile!

Lakini ushetani ni huu: kama kweli ameamua kumuachia mkuu wa nchi uamuzi wa kujibu au kutojibu na akaheshimu asimpangie muda wa kujibu iweje akaisome barua hadharani?

Ni heshima sampuli gani hii? Imemuongezea nini kwa kuisoma barua hadharani? Sasa hii barua kamwandikia raisi au katuandikia sisi wote? Ni barua ya raisi tena? Kwa nini raisi aijibu wakati waliopelekewa hii barua tuko wengi sasa?

Katika hotuba yake alidai yeye ni mkubwa sana hawezi kujibizana na mtu mdogo kama DC wa Hai! Lakini ajue wakati anatusomea barua na DC wa Hai naye alikuwa msikilizaji? Naye anaweza kumjibu.

Hivi chadema wanajua maana ya BARUA YA SIRI? Confidential Letter! Hii si ingestahili kuwa confidential ili iwe nzito?

Sasa hata sisi katupatia nakala! Ngoja tumjibu maana na sie si walengwa?

Sasa hivi tunataka Serikali ishughulike na matatizo yetu na sio yako na ya kakikundi kako. Katiba mpya na Tume Mpya sio shida kwetu! Haitatuongezea chakula, matibabu, elimu wala kipato. Tunahitaji maji, mawasiliano na usafiri. Shida yako usiifanye ndio yetu.

Siku nyingine kuwa na nidhamu ya uandishi na mawasiliano. Ulichofanya ni sawa na mwanafunzi amuandikie baba yake barua kuomba pocket money halafu kabla baba hajamjibu aende sokoni aisome barua kwa wachuuzi!

Au ndio maana Selasini hakuandikiwa barua? No office ethics!
Pumba
 
Mkuu vioja haviishi humu. Nadhani wataalamu wa tafiti waichungulie JF kujua ni nini kimeikumba?
Mahali palipo kuwa panatambulika kama Home of great Thinkers pameporomoka kwa kazi na kuwa Camp of Hooligans and Vilaza kwa kasi ya supersonic.
Tokea Nape ai introduce ajira ile ya BK7 mambo yalianza kuharibika, nafuu yake ni kuwa yeye alileta wafia chama lakini wenye akili na weledi.
Kama Polepole mamaaa! Sijui anaokota wapi hawa watu? Au ndio cheap labor hizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
100% agree with you
 
Nimemsikiliza mtani akiongea kuhusu barua waliyomwandikia mkuu wa nchi. Japo alijisahau mara kadhaa akisema "niliyo mwandikia"! Nafsi inanituma niamini kaandika yeye hakushirikisha wenzake. Lakini hilo sio tatizo! Tatizo haswa ni pale alipoulizwa je ikiwa hatajibiwa atafanyaje?

Ndipo ushetani ulipojichomoza! Alijibu kuwa yeye keshamkabidhi mkuu barua atake au asitake kujibu wanamuachia yeye. Swadakta tawile! Na akaulizwa tena je amempa mkuu deadline ya kujibu? Akajibu kuwa si heshima kumpangia mkuu wa nchi muda wa kujibu. Swadakta tawile!

Lakini ushetani ni huu: kama kweli ameamua kumuachia mkuu wa nchi uamuzi wa kujibu au kutojibu na akaheshimu asimpangie muda wa kujibu iweje akaisome barua hadharani?

Ni heshima sampuli gani hii? Imemuongezea nini kwa kuisoma barua hadharani? Sasa hii barua kamwandikia raisi au katuandikia sisi wote? Ni barua ya raisi tena? Kwa nini raisi aijibu wakati waliopelekewa hii barua tuko wengi sasa?

Katika hotuba yake alidai yeye ni mkubwa sana hawezi kujibizana na mtu mdogo kama DC wa Hai! Lakini ajue wakati anatusomea barua na DC wa Hai naye alikuwa msikilizaji? Naye anaweza kumjibu.

Hivi chadema wanajua maana ya BARUA YA SIRI? Confidential Letter! Hii si ingestahili kuwa confidential ili iwe nzito?

Sasa hata sisi katupatia nakala! Ngoja tumjibu maana na sie si walengwa?

Sasa hivi tunataka Serikali ishughulike na matatizo yetu na sio yako na ya kakikundi kako. Katiba mpya na Tume Mpya sio shida kwetu! Haitatuongezea chakula, matibabu, elimu wala kipato. Tunahitaji maji, mawasiliano na usafiri. Shida yako usiifanye ndio yetu.

Siku nyingine kuwa na nidhamu ya uandishi na mawasiliano. Ulichofanya ni sawa na mwanafunzi amuandikie baba yake barua kuomba pocket money halafu kabla baba hajamjibu aende sokoni aisome barua kwa wachuuzi!

Au ndio maana Selasini hakuandikiwa barua? No office ethics!
Kujipendekeza ni mzigo.
 
Mbowe katuma barua ya wazi,sasa chama chake anachokiongoza ndio mawazo na mahitaji yao kuelekea uchaguzi mkuu 2020!Sasa badala kujikita kwenye maudhui unaanza kumuattack mtu binafsi,ili iweje?Ndio mkishindwa hoja au kukosa cha kuchangia mnabwabwaja tu!Shwain kabisa!
Mabaunsa wa Mbowe wanakuhusu nini na wanaingiaje kwenye hoja zake?Shubaamiti!
Ukiwa na akili Timamu unawezatuma barua ya wazi na kuisoma mbele ya waandishi na unategemea majibu. Ndo ubovu wa elimu hapo!
 
Usipende kukariri,kama ni ya maana na msingi basi serikali ifanyie kazi,kama ni ya kipuuzi iyaweke kapuni,cha msingi ujumbe umefika!Shwain!
 
Nimemsikiliza mtani akiongea kuhusu barua waliyomwandikia mkuu wa nchi. Japo alijisahau mara kadhaa akisema "niliyo mwandikia"! Nafsi inanituma niamini kaandika yeye hakushirikisha wenzake. Lakini hilo sio tatizo! Tatizo haswa ni pale alipoulizwa je ikiwa hatajibiwa atafanyaje?

Ndipo ushetani ulipojichomoza! Alijibu kuwa yeye keshamkabidhi mkuu barua atake au asitake kujibu wanamuachia yeye. Swadakta tawile! Na akaulizwa tena je amempa mkuu deadline ya kujibu? Akajibu kuwa si heshima kumpangia mkuu wa nchi muda wa kujibu. Swadakta tawile!

Lakini ushetani ni huu: kama kweli ameamua kumuachia mkuu wa nchi uamuzi wa kujibu au kutojibu na akaheshimu asimpangie muda wa kujibu iweje akaisome barua hadharani?

Ni heshima sampuli gani hii? Imemuongezea nini kwa kuisoma barua hadharani? Sasa hii barua kamwandikia raisi au katuandikia sisi wote? Ni barua ya raisi tena? Kwa nini raisi aijibu wakati waliopelekewa hii barua tuko wengi sasa?

Katika hotuba yake alidai yeye ni mkubwa sana hawezi kujibizana na mtu mdogo kama DC wa Hai! Lakini ajue wakati anatusomea barua na DC wa Hai naye alikuwa msikilizaji? Naye anaweza kumjibu.

Hivi chadema wanajua maana ya BARUA YA SIRI? Confidential Letter! Hii si ingestahili kuwa confidential ili iwe nzito?

Sasa hata sisi katupatia nakala! Ngoja tumjibu maana na sie si walengwa?

Sasa hivi tunataka Serikali ishughulike na matatizo yetu na sio yako na ya kakikundi kako. Katiba mpya na Tume Mpya sio shida kwetu! Haitatuongezea chakula, matibabu, elimu wala kipato. Tunahitaji maji, mawasiliano na usafiri. Shida yako usiifanye ndio yetu.

Siku nyingine kuwa na nidhamu ya uandishi na mawasiliano. Ulichofanya ni sawa na mwanafunzi amuandikie baba yake barua kuomba pocket money halafu kabla baba hajamjibu aende sokoni aisome barua kwa wachuuzi!

Au ndio maana Selasini hakuandikiwa barua? No office ethics!

Wote tunajua mikataba ya raslimali za nchi hii ni siri ya viongozi na wawekezaji, ni kipi kilimfanya Magufuli aitishe mubashara juzi utiaji saini wa mkataba wa madini, ambao wanaojua kilichoko ndani ni yeye na viongozi wenzake, na kuishia kutuhubiria kilichoko ndani bila sisi wenyewe kujua kilichoko ndani? Kama mikataba ni siri na akaweka wazi utiaji saini ana tofauti gani na huyo Mbowe?
 
Back
Top Bottom