Hivi bajeti ya wizara ya afya huwa inafanyiwa nini???....hii ni wodi ya wanawake wajawazito

madaktari wakisema mnasema wamekuwa wanasiasa, mara ooh wanapenda hela. Mtarundikwa sana na wake zenu huku wengine wakitumia kodi zetu kusafiria na kulipwa na kulipiwa gharama za matibabu nje. Na hapo hafanyi mtu round watajicheki wenyewe. Kanga na tshirt za bure ndo gharama yake hiyo.
 
Back
Top Bottom