Hivi ananipenda kweli?

Kessy Hamisi

Member
Jun 25, 2012
24
8
Kuna msichana ambaye nilimaliza naye sekondari kidato cha nne mwaka 2009 mpaka sasa tumemaliza kidato cha sita tukisubiri post za chuo.Aliwahi kunitamkia kuwa ananipenda na mimi nikamkumbalia lakini cha kushangaza sana mapenzi yetu yamekuwa ni ya kwenye simu tu kiasi huwa nakosa muda wa kukaa naye ili tuzungumze juu ya mahusiano yetu na pia nimeshakwenda nyumbani kwao mara nyingi lakini nikimuuliza atakuja lini nyumbani apajue ananipiga kalenda na hata mama yangu anajua nipo naye lakini hajawahi kumuona.Je hivi ni kweli ananipenda au ananipotezea muda? msaada wenu wadau
 
Maneno hayo kwenye rangi mwambie uso kwa uso...kisha umuulize je unanipenda au unanipotezea tu?
 
Wanawake wote mama yao mmoja baba yao mmoja,kua uyakute,hilo lako trela tu subiri muvi.
 
Maneno hayo kwenye rangi mwambie uso kwa uso...kisha umuulize je unanipenda au unanipotezea tu?

habari yako BAK na mimi nina mpango wa kukutongoza ila mapenzi yetu yatakua ya e-mail tu!
 
Last edited by a moderator:
Ongea nae face to face,mueleze how you feel kutokana na the way anavyokupiga kalenda,muulize kama anakupenda kweli au lah! From there utajua pa kuanzia..
 
Tafuta muda ukae nae kwa muda mrefu ili muongee hayo mambo mkiwa mmetulia bila haraka. Unajua unapokaa na mtu mda mrefu kidogo ndo unaweza kugundu chochote. Ila kwenye simu mtu anaweza kutoa maneno ambayo hayaendani na body movement.
 
Mwanamke suti kujishebedua kidogo.....
Kwani lazima aje kwenu ndo ujue anakupenda? Si huwa unaenda kwao Na mnaongea? Unataka aje kwenu ukapige mandingo?
 
Maneno hayo kwenye rangi mwambie uso kwa uso...kisha umuulize je unanipenda au unanipotezea tu?
mkuu BAK KUNA MTU ANATAKA KUKUTONGOZA ANAITWA Purple JE MUULIZE NI MWANAMKE AU MWANAUME ?????????????ISIKUTE NI LIDUME HILO
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
nenda chuo na weka elimu mbele ukija kupata kari au ukawa na hela atakuja mwenyewe ,do u remember baby i told u i love u so much that time ,sasa hapo unamwambia unakumbuka zile kalender????????????????
 
Kuna msichana ambaye nilimaliza naye sekondari kidato cha nne mwaka 2009 mpaka sasa tumemaliza kidato cha sita tukisubiri post za chuo.Aliwahi kunitamkia kuwa ananipenda na mimi nikamkumbalia lakini cha kushangaza sana mapenzi yetu yamekuwa ni ya kwenye simu tu kiasi huwa nakosa muda wa kukaa naye ili tuzungumze juu ya mahusiano yetu na pia nimeshakwenda nyumbani kwao mara nyingi lakini nikimuuliza atakuja lini nyumbani apajue ananipiga kalenda na hata mama yangu anajua nipo naye lakini hajawahi kumuona.Je hivi ni kweli ananipenda au ananipotezea muda? msaada wenu wadau

Umemaliza fom foo mwaka 2009, huu ni mwaka 2012. Ntakutia bakora, nenda kasome!!
 
Ongea nae face to face,mueleze how you feel kutokana na the way anavyokupiga kalenda,muulize kama anakupenda kweli au lah! From there utajua pa kuanzia..

Tafuta muda ukae nae kwa muda mrefu ili muongee hayo mambo mkiwa mmetulia bila haraka. Unajua unapokaa na mtu mda mrefu kidogo ndo unaweza kugundu chochote. Ila kwenye simu mtu anaweza kutoa maneno ambayo hayaendani na body movement.

Mwanamke suti kujishebedua kidogo.....
Kwani lazima aje kwenu ndo ujue anakupenda? Si huwa unaenda kwao Na mnaongea? Unataka aje kwenu ukapige mandingo?

Anakupenda ila hujajua....
Nyie watu mbona mnamfundisha huyu mtoto tabia mbaya? Mwambieni akasome. Mnamsoma huyu great thinker mwenzangu hapa chini?

nenda chuo na weka elimu mbele ukija kupata kari au ukawa na hela atakuja mwenyewe ,do u remember baby i told u i love u so much that time ,sasa hapo unamwambia unakumbuka zile kalender????????????????
 
Nakushhauri kasome kwanz amkuu
Kama ni mapenzi utayapata tuu
Afterall anakuona bado dogo unataka kwenda chuo na yeye anaenda huko
may be utafika chuo umpate wa kukufaa yeye umuone hana maana au vise versa
Zingatia kwanza upate chuo usome mambo yatajipa tuu kama anakupenda atakuja mwenyewe
 
Mapenzi na shule, mlenda na pilau..soma na kuhusu swali lako ni kwamba anakupenda, usifikir ni jambo rahisi kwenda ukweni remember hata kiumr hajakua.
 
Back
Top Bottom