HIV test online.

Bishanga umeona mbali sana! Nilikuwa sijui kama wana chit chat wanaivunja amri ya sita kwa bidii kiasi hichi! Nilijua utani tu kumbe loh mapyaaaa! Ushari wangu! UKIMWONA MZURI LEO NI WANGAPI WALISHAMWONA KABLA YAKO???
 
Last edited by a moderator:

mkuu watu wanafanya kweli,kuna ambao mpaka wanaoana kabisa,kwa ushuhuda nenda mmu kasome uzi wa mdau Paxman,kautoa jana.
 
Last edited by a moderator:
Msiogope kupima! Kwa sababu hata ukikutwa nao kuna faida sita. 1. Utatembelewa., 2. Unapewa msosi mzuri. 3. Kila mtu anakuhumia. 4. Ukitaka kunya huendi chooni palepale ulipo. 5. Ukijitangaza unakuwa shujaa. 6. Ukiwa mfungwa unapata msamaha! Kumbuka dawa na ambulance ni bureee!
 
Back
Top Bottom