Watanzania wenzangu,
Hili la mabenki kuweni makini kidogo, haya mambo ya mabenki yako so... delicate... kwa rumours tu... mwaweza kufanya benki ifilisike... kuweni makeni....
Kuhusu HITS... kwa kweli huenda Orange wakachukua... kumbukeni Orange, wamewanunua Telecom Kenya... na HITS ya Uganda... huenda wasione shida kuingia Tanzania wakamate EAC.
Hapa umeongea, Systemic Risk ni kubwa sana kwenye mabank effect yake huwezi kuipata bank moja ni mtandao wa mabank yote so hapa inabidi mtu uwe na facts kabla ya kusema kile ukichosikia kwenye vijiwe vya kahawa.