HITS yaaga Tanzania

Watanzania wenzangu,

Hili la mabenki kuweni makini kidogo, haya mambo ya mabenki yako so... delicate... kwa rumours tu... mwaweza kufanya benki ifilisike... kuweni makeni....

Kuhusu HITS... kwa kweli huenda Orange wakachukua... kumbukeni Orange, wamewanunua Telecom Kenya... na HITS ya Uganda... huenda wasione shida kuingia Tanzania wakamate EAC.

Hapa umeongea, Systemic Risk ni kubwa sana kwenye mabank effect yake huwezi kuipata bank moja ni mtandao wa mabank yote so hapa inabidi mtu uwe na facts kabla ya kusema kile ukichosikia kwenye vijiwe vya kahawa.
 
JAMANI JAMANI!nina mdogo wangu amepata kazi hits hivi karibuni.sasa itrakuwaje?
 
Jamani,hili la HITS ni ishu kama ni kweli,maana walianza kwa moto sana kuchukua wafanyakazi katika makampuni makubwa na kuwalipa mshahara tangu nov 08 licha ya kwamba walikuwa bado hawajaanza oparesheni rasmi.Wenye dataz watuwekee hapa.Kwa hali hii basi global crisis ni balaa sana.Hata Tz?
 
Naona sasa hata website yao imepotea, wanasema iko under construction, sijui kama ni kweli.
 
Mtanzania uko kwenye mtandao gani wewe? Tusidanganyane hapa mbona website yao inapatikana tu HiTs Tanzania - Home au wewe unaangalia ipi isiyopatikana mwenzetu?!

Rumours kama hizi za Barclays sio nzuri, zinatosha kabisa kuua benki. Kila mtu akiamua kwenda kupanga foleni pale kudraw hela zake si benki itaclose down jamani??
 
Shisye
we vipi? kipi bora unataka pesa zetu zipotee, infact ni kwamba Barklay wameyumba kiuchumi na ndio maana wameongeza interest kwa personal loan kutaka 24% mpaka 27%, hapo bado haujajumlisha 2% kama loan appraisal na insuarance fees 1%,
kikubwa watanzania tuchukue taadhari kisijekikatokea kama ilivyotokea miaka 1900s benki ya greenland ulivyofilisika,cha kisikitisha ni kwamba viongozi wetu hawapo makini nimesikitishwa sana na kauli ya mkulu kwamba hathari ya kiuchumi haitatuathiri
 
Shishye,

Asante kwa link hiyo, mimi niliangalia hii hapa chini na inaonyesha iko Under Construction kama nilivyoandika mwanzoni.

HiTS Tanzania
 
Rumours kama hizi za Barclays sio nzuri, zinatosha kabisa kuua benki. Kila mtu akiamua kwenda kupanga foleni pale kudraw hela zake si benki itaclose down jamani??

Hakuna benki yoyote huku Duniani, achilia mbali Tanzania ambayo... wateja wakiamua kupiga foleni ya ku-withdraw amana zao itaendelea kufanya kazi... hata kwa mwezi mmoja tu.

Kwa hiyo wajameni kwenye field ambazo sio zenu... munyamaze... mimi sio wa huko... lakini at least najua bank kubwa ya UK ilikufa kwa sababu ya rumors tu...

shishye nakuunga mkono.
 
Huko Nigeria kumejaa watu wengi wasio na kazi halafu eti watanzania waahidiwe kwenda kupewa kazi huko mhhh labda? Na kama ni kweli siwashauri ndugu zangu mwende huko mtajuta, utapeli na wizi njenje, tena wakijua ninyi ni wa kuja?...
 
inasemekana wachna wa huwaei waliokuwa wanajenga minara ya hits nao wameshafunga virago, walioko huwaei technologies leteni data,

mnaogopa kufilisika kwa hayo mabenki mnataka tukae kimya sisi ndo tufilisike kama ilivyokuwa meridian biao, na green land bank? nadhani hamna haja ya kuficha kama wanachungunlia kufilisika andikeni hapa, afterall barclays ni benki kubwa sana duniani kama limeanza kufilisika huko majuu sisi tutazuia nini na visenti vyetu?
 
from what i heard from a person that works at Hits, they are planning to launch sometime this month and they will be using the number 074x-xxxxxx and one of the reasons he told me for them not going live earlier is tht they do not want their launching time to coincide with Dovetel's as apparently Dovetel are also planning to launch sometime this month......whether this will actually happen, i don't knw.....i guess we should just wait and see!
 
Usahihi wa mambo ni kwamba wasiwasi wa mtikisiko wa uchumi uliwakumba HiTS. Hata hivyo, kwa sasa mambo yote yanaendelea kama awali. wakati wowote kuanzia juma lijalo wafanyakazi wataanza kutumia simu za mtandao wao kwa majaribio.

Nguvu kubwa ya HiTS Africa imeelekezwa Equetorial Guinea ambako mtandao unatakiwa kuwa hewani mwezi ujao. Next ni HiTS Tanzania.
 
Hakuna benki yoyote huku Duniani, achilia mbali Tanzania ambayo... wateja wakiamua kupiga foleni ya ku-withdraw amana zao itaendelea kufanya kazi... hata kwa mwezi mmoja tu.

Kwa hiyo wajameni kwenye field ambazo sio zenu... munyamaze... mimi sio wa huko... lakini at least najua bank kubwa ya UK ilikufa kwa sababu ya rumors tu...

shishye nakuunga mkono.

Kasheshe,

Mimi nataka kufungua Ac Tz je nikafungue Backlays? Wakati nasikia kuna maneno?

Ng'o ..nitafungua NMB au CRDB!
 
kuna tatizo kubwa sana haswa watu wanaokopa wanashauriwa utoe pesa zako katika benki hiyo kwa sababu kuna watu sio waaminifu wanaweza kukuingiza mjini na mkopo wako katika benki hiyo
 
Shisye
we vipi? kipi bora unataka pesa zetu zipotee, infact ni kwamba Barklay wameyumba kiuchumi na ndio maana wameongeza interest kwa personal loan kutaka 24% mpaka 27%, hapo bado haujajumlisha 2% kama loan appraisal na insuarance fees 1%,
kikubwa watanzania tuchukue taadhari kisijekikatokea kama ilivyotokea miaka 1900s benki ya greenland ulivyofilisika,cha kisikitisha ni kwamba viongozi wetu hawapo makini nimesikitishwa sana na kauli ya mkulu kwamba hathari ya kiuchumi haitatuathiri

Unategemea nini kutoka kwa mkulu, washauri wake wakiwa rookies kama Mwinyimvua; Mkulu alitengenezewa team ya kumshauri na Ndulu wa BOT na sasa Mpango aliyekuwa Ikulu yupo Treasury. Tunarudia yale yale ya Balali akiwa BOT na mshauri wa uchumi Ikulu akiwa Anna Muganda na Treasury ps akiwa MGONJA kijana wa Balali!! Muungwana aamka kabla mambo hayajakupata!!
 
Ufafanuzi kidogo.....

omariyas
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom