pole i think kuna situation inayokufanya ulie utashinda
pole i think kuna situation inayokufanya ulie utashinda
huu wimbo aisee, kila mmoja anapata hisia kulingana mazingira mbalimbali alipousikia, mtunzi alitulia!
Asante mkuu,,,,Kwa maelezo haoyo,,,Kiukweli miaka ya Zamani watu walikuwa wanatunga nyimbo nzuri nanyingi zilikuwa zinaelezea matukio halisi ndio maana hata leo ukizickia ujumbe pamoja na sauti Unagusa MOYO,,,!
Kama wimbo wa "keep me true" naupenda sana unavuta hisia....
Zaidi ya yote ni msg yake
Keep me true
Lord Jesus keep me true X 2
There is a race i must run
There are victories to be won...
Ndio huo mkuu au ?
Kuna na ule wa Amy Grant unaitwa better than a halleluiah unaupata?hebu tafuta video yake utazame halafu unipe mrejesho please.