MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,259
Porojo...
Mkuu hii nitaileta kesho. Si unajua ni high season na nina vidola kidogo,hivi sasa nipo enduleni kwa dada yake localizer.
Ndio kwanza ujuwe tunaziamini habari zao kuliko hawa vigodoro vya ufisadi.Subirini vyanzo vyenu vya habari; BBC, CNN, FOX NEWS watangaze.
Hata shule unasoma vitabu kutoka kwa hao ndio walioandika historia ya ulimwengu.Basi huwa unadanganywa kweli kweli. Pole.
Mkuu kama upo endulen usisahau kututembelea kijiweni hapa karibu na kwa ManuMkuu hii nitaileta kesho. Si unajua ni high season na nina vidola kidogo,hivi sasa nipo enduleni kwa dada yake localizer.
Ndio nani hao?Umeandikiwa historia ya wamasai huitaki. Unasubiri iandikwe na wazungu. Haya, wazungu wameshakuandikia kwamba Israeli ni nchi ya watu wanaokaa pale kwasasa.
Nifaa we ni masai kama mimi! Acha izo bhanaKumbe ndio maana niko kama mzungu?
Aiseeeee
Trust me.Nifaa we ni masai kama mimi! Acha izo bhana
Picha tuone kama kweliTrust me.
Eka kapicha basi bajomba au wale wazungu wanaokatwa viungoNifaa we ni masai kama mimi! Acha izo bhana
Sio lazima uamini.Picha tuone kama kweli
Nataka kuona ulivyo mremboSio lazima uamini.
Ukishaona iweje mkuu?Nataka kuona ulivyo mrembo
Basi kweli wamasai tuna wanawake wa ukwelTrust me.
Vibaya sanaBasi kweli wamasai tuna wanawake wa ukwel
Macho yangu yana uwasho dawa yake nikikuona wewe au kuna ubaya hapo?Ukishaona iweje mkuu?
We mtu, waisraeli wenyewe wametokea Ethiopia!! Hili wengi litawaduwaza. Hiyo Aramaic waliyokua wakiongea kina Yesu ni mchakachuo wa Kioromo cha Ethiopia. Sikumbuki chanzo hasa.
Hata hivyo, inakubalika na wanahistoria duniani kuwa binadamu kaanzia hekaheka za kutangatanga duniani pote akitokea Afrika. Masalia ya mtu wa kale zaidi yalichimbuliwa huko Ngorongoro na Dr. Leakey.
Wamasai ni sehemu tu wa watu walio na chimbuko mto Nile chini ya jangwa la Sahara (nilo saharan ama tu nilotic). Wanubi, watutsi na wajaluo ni ndugu zao kimbari.
Kuhusu wamasai kuingia afrika mashariki km ilivyo sasa, wameingia karne km 3 tu zilopita mnamo miaka ya 1700, naam, wakitokea Sudan. Labda wamewazidi wangoni tu kwa kuwahi kuingia Tz ya sasa. Msome Gervas Tatah Mlola kwenye The Ways of the Tribe.
Kwa ufupi na kwa ujumla sana:
Kuna mbari kama 5 hivi za waafrika weusi. WABANTU ambao ndio wengi kwa idadi (wahaya, wasukuma, wakikuyu, wakamba, wazulu, waibo, wacongo, n.k.); WANAILOTI (wakijulikana sn kwa ng'ombe wao Ankole wenye pembe nzuri ndefu na maumbile maororo); WAKUSH/SEMITIC (waoromo, wairaqw/wambulu, watu wa djibout, n.k.); 'watupori'/KHOISAN (wanaongea kwa click wasandawe, waxhosa?, watatoga/watindiga, n.k.) na MBILIKIMO wa huko msitu wa kongo ingawa mara nyingi wanasahaulika km mbari mojawapo ya kiafrika (wanakula watu nao wanaliwa na wabantu waCongo).
Mbari hizi kwa sasa zimechanganyana sana kiasi baadhi wanapoteza asili. Mfano Watutsi asili yao ni wanailoti. Ila DNA za sasa wanaonyesha ni wabantu kwa zaidi ya 75%!! (soma wikipedia - Tutsi).