Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

Usikubali kutumika hilo swali mjibu nusu tuu abaki anachambua akilini mwake, mwanamke anaye uliza hilo swali moja kwa moja ni malayer
 
umri wako bro?...... bank teller ni kazi ya wanawake.....mtanisamehe ila ukweli mchungu... so jibu hilo utapata dyudu tuuu........lecturer may be...... but......
 
kwahyo lekicha wa yudizim na benki tela ndio kazi zenye mkwanja mzuri mpka uweze kuhudumia dem😂😂😂😂 labda dem asiejielewa.....
kazi za kuzidiwa kipato hata na teja wa bondeni ferry kazi gani hizo uchwara
Yaani tena anamzidi kipato lecturer? Hapa uliandika ukiwa umekalia u bore?
 
Ni imani tu mmejiwekea.

Binafsi nikikutana na mtu aka-catch interest yangu (generally, that is), lazima ntamuuliza kwasababu ni sehemu ya kujua aina ya mtu nnaezungumza nae. Kwahiyo huwa nauliza, na naulizwa sana hata kwenye convo ya kwanza kabisa. Wala sijawahi kuchukulia vibaya kana kwamba huyo mtu ananichunguza zaidi ya vile inapaswa.
Oyaa wanaume tunazingua kikuma yaani.
Mnaonifaham na kunifollow kwenye threads zang mnisamehe tu maana I'm fedup with shit niggas.
We need to be creative.
 
Salute Comrades!

Wanaume wenzangu njooni hapa niwape code kuhusu hawa wanawake ambao tumeusiwa tuishi nao kwa akili.

Kawaida yetu sisi wanaume tuna hulka ya kutongoza tongoza wanawake especially Kama mwanamke husika Ni anakidhi vigezo vyako.

Basi kipindi unamtongoza mwanamke Kuna hili swali ambalo lazima atakuuliza.
Swali lenyewe Ni Kama ifuatavyo ," Kwa hiyo wewe unajishughulisha na Nini maishani?"

Nina imani wanaume wengi wamewahi kuulizwa hilo swali na wanawake.
Bro sikiliza,Hilo swali hapo juu huwa haliulizwi kwa bahati mbaya Kama wengi tunavyofikiria.Hilo swali Ni la kimkakati limekaa kimtego Sana.
Jibu utakalompa ndilo litakaamua mustakabali wa mahusiano yenu Kati yako na huyo mwanamke unayemtongoza.

Mwanamke akikuuliza huwa unafanya shughuli/ kazi gani huwa anataka kujua Kama hiyo kazi in uwezo wa kukupa kipato Cha uhakika na hatimaye hutashindwa kumhudumia.Kwa hiyo hapo mwanamke anajali kuhusu financial security.

Kwa mfano mwanamke akikuuliza unafanya shughuli gani kujikimu kimaisha kisha wewe unamjibu " Mimi ni lecturer pale UDSM au Mimi Ni bank teller" walahi hapa probability ya kukubaliwa ombi lako Ni 99%.
Sababu Ni kwamba mwanamke atakuwa na uhakika wa kuhudumiwa vizuri coz tayari anajua unafanya kazi yenye mshahara mnono 😂

Wanaume kuweni makini Sana na hilo swali ambalo wanawake wanapenda kuwauliza pindi mnapowatongoza.
Hili ni darasa kwa vivulana vya kuanzia 2000 ila sio kwa wakongwe.
 
kwahyo lekicha wa yudizim na benki tela ndio kazi zenye mkwanja mzuri mpka uweze kuhudumia dem😂😂😂😂 labda dem asiejielewa.....
kazi za kuzidiwa kipato hata na teja wa bondeni ferry kazi gani hizo uchwara
Ametoa majibu kwa ajili ya demu unayemtongoza. Sasa mwambie demu kuwa wewe ni teja pale ferry, kama atakukubalia huyo ndo hajielewi
 
Back
Top Bottom