g.n.n
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 407
- 49
Uwezi amini ila ukweli ni kwamba leo nimeaangalia selection status yangu nakutana na ujumbe kwamba sijafanya selection yeyeto huu sasa si kutiana presha tu au? Nakumbuka fika kabisa kwamba jana selection status zangu zilikuwa zinaonekana vizuri kabisa ila cha ajabu mda huu saa 12 naangalia nashangaa kuona huo ujumbe kwamba SIJAFANYA SELECTION YEYOTE.
wajameni nifanye nini naomba hata kama mna contacts za hawa watu mniandikie hapa ili walao niwapigie wanasaidie nahuzuni ambayo siwezi kuilezea hapa....
:A S cry::embarassed2::A S cry::A S cry:
wajameni nifanye nini naomba hata kama mna contacts za hawa watu mniandikie hapa ili walao niwapigie wanasaidie nahuzuni ambayo siwezi kuilezea hapa....
:A S cry::embarassed2::A S cry::A S cry: