hili nililolikuta jamani naweza nikafa ghafla please naomba msaada wa haraka.

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49
Uwezi amini ila ukweli ni kwamba leo nimeaangalia selection status yangu nakutana na ujumbe kwamba sijafanya selection yeyeto huu sasa si kutiana presha tu au? Nakumbuka fika kabisa kwamba jana selection status zangu zilikuwa zinaonekana vizuri kabisa ila cha ajabu mda huu saa 12 naangalia nashangaa kuona huo ujumbe kwamba SIJAFANYA SELECTION YEYOTE.
wajameni nifanye nini naomba hata kama mna contacts za hawa watu mniandikie hapa ili walao niwapigie wanasaidie nahuzuni ambayo siwezi kuilezea hapa....

:A S cry::embarassed2::A S cry::A S cry:
 
nime login hata mm nime kuta hvyo hvyo,chakufanya click kwenye sehemu iliyoandikwa CLICK HERE to check your eligibility status usihofu hata jamaa zangu wenye one kali wameandikiwa hvyo..
 
nime login hata mm nime kuta hvyo hvyo,chakufanya click kwenye sehemu iliyoandikwa CLICK HERE to check your eligibility status usihofu hata jamaa zangu wenye one kali wameandikiwa hvyo..

kaka hapa nilipo hata sijui nifanyaje ngoja nisubiri ila kiukweli hapa nilipo presha imepanda sana,
 
uwezi amini ila ukweli ni kwamba leo nimeaangalia selection status yangu nakutana na ujumbe kwamba sijafanya selection yeyeto huu sasa si kutiana presha tu au? Nakumbuka fika kabisa kwamba jana selection status zangu zilikuwa zinaonekana vizuri kabisa ila cha ajabu mda huu saa 12 naangalia nashangaa kuona huo ujumbe kwamba sijafanya selection yeyote.
Wajameni nifanye nini naomba hata kama mna contacts za hawa watu mniandikie hapa ili walao niwapigie wanasaidie nahuzuni ambayo siwezi kuilezea hapa....

:a s cry::embarassed2::a s cry::a s cry:
embu wachek hapa 0712722684 ila jiandae kwa kufokewa,matusi,kufokewa na mengine kama hayo!!! Komaa even mimi iko hivyo ila nangojea kesho kama ni kujaza tena au vip!!!!
 
embu wachek hapa 0712722684 ila jiandae kwa kufokewa,matusi,kufokewa na mengine kama hayo!!! Komaa even mimi iko hivyo ila nangojea kesho kama ni kujaza tena au vip!!!!

Itabidi niwe mpole tu,
shukrani ngoja niwacheki.
 
Tatizo unaangalia sana web yao kila saa, lol
Afu unaomba contacts, kwani kwenye web yao haipo?
 
Wacheni presha zile acount tayari zimeshafanyiwa kazi na data zake zimeshahifaziwa but ziko ivo kwa7bu zinasubiri application mpya kwa kila ambae jina lake litakuwa halijachaguliwa. Wachen fujo subirini kesho
 
jamani mbona wameandika kabisa its a second round application......hi ni account zote ziko hvo;account zote zimeandaliwa kwaajili ya kuaply upya its nt a problem at all
 
wacheni presha zile acount tayari zimeshafanyiwa kazi na data zake zimeshahifaziwa but ziko ivo kwa7bu zinasubiri application mpya kwa kila ambae jina lake litakuwa halijachaguliwa. Wachen fujo subirini kesho
hilo wazo...ila hata mimi ilinshtua mbaya!!!
 
mkuu mbona yangu nitofauti,wadau wengine vipi..??

hata mimi kwangu iko pouwa kabisa hata ile view my selection status isharudi !! I thnk hapa kuna ku apply upya kwa wale waliokuta akaunti zao zimeandikiwa hvyo
 
Acha P,TCU ths year ndo imechagua kufanya kazi yake hivyo,Wenzako wameona yakuwafanya wafe kisha wafufuke..wameacha presha lyf inasonga wanasubr liwalo na liwe!
 
Ha ha ha hah leo
nilikua namtafuta
jamaa yangu
mpigamsuli kumbe
Banned Makamuzi
upo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom