Hili linanitatiza

Pole sana my dear,ukisikia wanawake wanatufundisha sometimes wanaume ni kama watoto ndo uelewe.Sioni point ya kukuunga mkono ukafanye hiyo kazi nyingine then hilo limpunguzie majukumu yawe yako hasa ya watoto.Amejisahau,unahitaji kuzungumza nae ili ujue kama suala la kulea watoto sasa ni lako binafsi. Kuna wanawake mjini wanatumia hata dawa kukwamua hela za waume wa watu,sisi tutakushauri tu na pengine hatujui kinachoendelea kwenye akili yake,LEAN ON GOD,na mlilie sana,yeye anaona sirini tusikoona sisi,uwe mvumilivu kidogo atakujibu na umuombe pia akupe nguvu ya kupokea majibu ya huyo mwanaume kubadilika,pokea,tulia na tafuta ushauri na support ya walio muhimu kwake kwenye kuzungumza nae kwa kuwa umesema ulishazungumza nae.....Kazi ni nguvu yako siwezi kushauri uache,tunapitia mapito,ukiacha na asitoe hiyo ya matumizi???Pia mumeo ana marafiki,najua wanaume hawasemagi ubaya wa wenzao but yupo mmoja anaweza kuambia ukweli au hata mke wa rafiki ya mumeo,mchunguze,isije ikawa kuna nguvu zinamfunga........Mungu akusaidie,akupe amani,ujasiri na nguvu katika wakati huu na akupe majibu na suluhisho la kudumu.
 
Wengi wamesaidia kukupa mchango mzuri wa mawazo nakuomba kwa yale mema basi yafanyie kazi.

Unajua hakuna kitu kinachouma kama unampenda mtu na ukaona mhusika haguswi hata kidogo kuthamini upendo unao-mpa hadi inafikia hatua unakuwa-bitter as you said.

Ushauri ni huu: Wala usipoteze muda, fanya uchunguzi wa kina utabaini ukweli. Umesema upo mkoa wa jirani na Dar, sasa kama una-moyo wa ujasiri sema hivi: panga safari ya kustukiza nenda kwa mume wako-dar lakini endapo nitamkuta na mwanamke mwingine zaidi yako usiwe na hasira yeyote ile-na umuombe mungu akuongoze vema- muda wa kufika home iwe ni usiku atleast saa 4 hivi piga hodi home au kama una-funguo spare we fungua mlango choma ndani.

Kama ukimkuta yupo alone take easy tu, akiuliza mwambie gari iliharibika ndio maana nimekuja muda huu, ukimkuta na mwanamke mwingine wewe wala usijali-take simple na uone je huyo mwanamke atalala humo ndani au itakuaje na yeye je atasema nini? Wewe lala asubuhi amka kama usafi fanya kisha muandalie chai anywe! Sasa mwambie tena kwa mahaba dah mume wangu nakupenda sana na muonyeshee kweli unampenda. Sasa utaona jinsi atakavyokuwa anajikanyaga kutaka kusawazisha mambo yake wakati wewe hujamuuliza. Hapo jibu utakuwa umelipata na yeye hatarudia huo mchezo kama anao. Still bado nadhani kwa uhakika kutakuwa ma mwanamke ambaye wewe anakufahamu fika na anajua upo mkoani hivyo yeye anaona ni bora au muda muafaka kufanya apendavyo na mumeo.

Nimeongea hilo kwa sababu ya uzeefu niliokuwa nao wa kubaini matatizo madogo madogo kama ya mapenzi ambayo wengi huwa wanatatizwa nayo.

NB: If you will do that, plse usiwe na hasira hata chembe na umuombe mungu wako akuongoze ili hatimaye ujue u-kweli na hata ukijua bado mume wako utampenda zaidi ili yeye ajione mjinga na kisha ajirudi
 
Ushauri mzuri ila inahitaji roho ya chuma kidogo... Welll mi kwa mawazo yangu naona kama hii ya kutaka ushahidi kwa kumkamata red handed yaweza isiwork as kama jamaa ana kazi za nje inawzekana kabisa asiwe anakuja nayo/nazo hapo nyumbani akawa anamaliza shughuli zake huko huko nje... UKizingatia hapo mnapokaa lazima kutakuwa na majirani au rafiki zako wanaoweza kukupa ishu. So nafikiri cha maana hapa ni kuongea nae. Wewe unamjua vizuri mume wako so itakuwa rahisi kumuelewa dhamira yake katika hili. Pia mshirikishe MUngu katika hatua zote za kulitatua hili. Nakutakia kila la kheri
 
Wengi wamesaidia kukupa mchango mzuri wa mawazo nakuomba kwa yale mema basi yafanyie kazi.

Unajua hakuna kitu kinachouma kama unampenda mtu na ukaona mhusika haguswi hata kidogo kuthamini upendo unao-mpa hadi inafikia hatua unakuwa-bitter as you said.

Ushauri ni huu: Wala usipoteze muda, fanya uchunguzi wa kina utabaini ukweli. Umesema upo mkoa wa jirani na Dar, sasa kama una-moyo wa ujasiri sema hivi: panga safari ya kustukiza nenda kwa mume wako-dar lakini endapo nitamkuta na mwanamke mwingine zaidi yako usiwe na hasira yeyote ile-na umuombe mungu akuongoze vema- muda wa kufika home iwe ni usiku atleast saa 4 hivi piga hodi home au kama una-funguo spare we fungua mlango choma ndani.

Kama ukimkuta yupo alone take easy tu, akiuliza mwambie gari iliharibika ndio maana nimekuja muda huu, ukimkuta na mwanamke mwingine wewe wala usijali-take simple na uone je huyo mwanamke atalala humo ndani au itakuaje na yeye je atasema nini? Wewe lala asubuhi amka kama usafi fanya kisha muandalie chai anywe! Sasa mwambie tena kwa mahaba dah mume wangu nakupenda sana na muonyeshee kweli unampenda. Sasa utaona jinsi atakavyokuwa anajikanyaga kutaka kusawazisha mambo yake wakati wewe hujamuuliza. Hapo jibu utakuwa umelipata na yeye hatarudia huo mchezo kama anao. Still bado nadhani kwa uhakika kutakuwa ma mwanamke ambaye wewe anakufahamu fika na anajua upo mkoani hivyo yeye anaona ni bora au muda muafaka kufanya apendavyo na mumeo.

Nimeongea hilo kwa sababu ya uzeefu niliokuwa nao wa kubaini matatizo madogo madogo kama ya mapenzi ambayo wengi huwa wanatatizwa nayo.

NB: If you will do that, plse usiwe na hasira hata chembe na umuombe mungu wako akuongoze ili hatimaye ujue u-kweli na hata ukijua bado mume wako utampenda zaidi ili yeye ajione mjinga na kisha ajirudi

Mkuu umeongea bonge la pointi .......!
 
Pole sana my dear,ukisikia wanawake wanatufundisha sometimes wanaume ni kama watoto ndo uelewe.Sioni point ya kukuunga mkono ukafanye hiyo kazi nyingine then hilo limpunguzie majukumu yawe yako hasa ya watoto.Amejisahau,unahitaji kuzungumza nae ili ujue kama suala la kulea watoto sasa ni lako binafsi. Kuna wanawake mjini wanatumia hata dawa kukwamua hela za waume wa watu,sisi tutakushauri tu na pengine hatujui kinachoendelea kwenye akili yake,LEAN ON GOD,na mlilie sana,yeye anaona sirini tusikoona sisi,uwe mvumilivu kidogo atakujibu na umuombe pia akupe nguvu ya kupokea majibu ya huyo mwanaume kubadilika,pokea,tulia na tafuta ushauri na support ya walio muhimu kwake kwenye kuzungumza nae kwa kuwa umesema ulishazungumza nae.....Kazi ni nguvu yako siwezi kushauri uache,tunapitia mapito,ukiacha na asitoe hiyo ya matumizi???Pia mumeo ana marafiki,najua wanaume hawasemagi ubaya wa wenzao but yupo mmoja anaweza kuambia ukweli au hata mke wa rafiki ya mumeo,mchunguze,isije ikawa kuna nguvu zinamfunga........Mungu akusaidie,akupe amani,ujasiri na nguvu katika wakati huu na akupe majibu na suluhisho la kudumu.

I Like Jf.....! ushauri mzuri :car:
 
Wengi wamesaidia kukupa mchango mzuri wa mawazo nakuomba kwa yale mema basi yafanyie kazi.

Unajua hakuna kitu kinachouma kama unampenda mtu na ukaona mhusika haguswi hata kidogo kuthamini upendo unao-mpa hadi inafikia hatua unakuwa-bitter as you said.

Ushauri ni huu: Wala usipoteze muda, fanya uchunguzi wa kina utabaini ukweli. Umesema upo mkoa wa jirani na Dar, sasa kama una-moyo wa ujasiri sema hivi: panga safari ya kustukiza nenda kwa mume wako-dar lakini endapo nitamkuta na mwanamke mwingine zaidi yako usiwe na hasira yeyote ile-na umuombe mungu akuongoze vema- muda wa kufika home iwe ni usiku atleast saa 4 hivi piga hodi home au kama una-funguo spare we fungua mlango choma ndani.

Kama ukimkuta yupo alone take easy tu, akiuliza mwambie gari iliharibika ndio maana nimekuja muda huu, ukimkuta na mwanamke mwingine wewe wala usijali-take simple na uone je huyo mwanamke atalala humo ndani au itakuaje na yeye je atasema nini? Wewe lala asubuhi amka kama usafi fanya kisha muandalie chai anywe! Sasa mwambie tena kwa mahaba dah mume wangu nakupenda sana na muonyeshee kweli unampenda. Sasa utaona jinsi atakavyokuwa anajikanyaga kutaka kusawazisha mambo yake wakati wewe hujamuuliza. Hapo jibu utakuwa umelipata na yeye hatarudia huo mchezo kama anao. Still bado nadhani kwa uhakika kutakuwa ma mwanamke ambaye wewe anakufahamu fika na anajua upo mkoani hivyo yeye anaona ni bora au muda muafaka kufanya apendavyo na mumeo.

Nimeongea hilo kwa sababu ya uzeefu niliokuwa nao wa kubaini matatizo madogo madogo kama ya mapenzi ambayo wengi huwa wanatatizwa nayo.

NB: If you will do that, plse usiwe na hasira hata chembe na umuombe mungu wako akuongoze ili hatimaye ujue u-kweli na hata ukijua bado mume wako utampenda zaidi ili yeye ajione mjinga na kisha ajirudi
huu ushauri mzuri,lakini mmh,ni ngumu kuukubali. hasa hapo uliposema,umkuye mwanamke ndani utayarishe chai,na umwambie mume maneno ya mahaba.haya maneno kuyaandika ni easy kuliko kuutekeleza huu ushauri.ukiangalia wewe umetoka mkoa mwengine.unamtembelea mume wako,umeacha watoto,umemfuata yeye na umkute na mwengine,uwe calm tu mmmh
 
asanteni kwa ushauri wenu, ntaufanyia kazi

rain,

kwanza pole kwa yaliyokukuta hadi sasa

ushauri wa wengi hapa ni mzuri sina sabau ya kurudia

Ila hapo upo kwenye ndoa kabisa ya cheti ama mnaishi tu pamoja....nauliza ivo sababu ijapokuwa umesema una mume, sijaona mahali ulipogusia kuwa ni wa ndoa kabisa na pengine ni ya namna gani?
 
Rain, Pole sana... tunajua kazi ni muhimu na lazima watoto wale. lakini pale mwanaume anapokushikia bango na kunyenyekea kwamba uhame kikazi, ujua anahitaji nafasi. Nijuavyo mimi angekuwa anakuhitaji ki-hivyo angekupigania na angekuwa tayari kukuhudumia kipindi unatafuta kazi nyingine. Sasa usiwe na jazba kwenye hili, fanya uchunguzi wako mwenyewe, rudi usiku na vitu kama hivyo kama ulivyoshauriwa hapo juu, in the mean tym usiache kutafuta uhamisho na ikishindikana tafuta kazi nyingine. If you love him you will fight for him... and your children
 
rain,

kwanza pole kwa yaliyokukuta hadi sasa

ushauri wa wengi hapa ni mzuri sina sabau ya kurudia

Ila hapo upo kwenye ndoa kabisa ya cheti ama mnaishi tu pamoja....nauliza ivo sababu ijapokuwa umesema una mume, sijaona mahali ulipogusia kuwa ni wa ndoa kabisa na pengine ni ya namna gani?
ni mume wangu wa ndoa ya kanisani yenye miaka 4 na watoto 2
 
1. Usiwaze zaidi tatizo kuliko kumpenda huyo mumeo.

2. Mpende kuliko hata siku ya mwanzo ya uchumba. Mpigie simu ya furaja kama ile uliyo mpigia siku unaujauzito wa kwanza, smile with him, weka manjonjo yote ya mapenzi unayo jua na usijaribu kuonyesha kuwa umegundua ana kuignore. Onyesha unamuhitaji,kwa unynyekevu wote ambao Mungu alikujalia kama mwanamke kuwa nao. Usisahau to hug him .

3. Mwombe Mungu, usiache kazi, na Mungu ataiponya ndoa yako.

tiger_hugging_man_.jpg
 
ni mume wangu wa ndoa ya kanisani yenye miaka 4 na watoto 2

Hii ndoa mpya kabisa kama yangu, heri ya wewe "majaribu mtaji" yanatokea sasa, mimi ndoa yangu ilipata msukosuko ndani ya miezi sita tu toka ifungwe, ilikuwa kali/balaa acha kabisa sitaki hata kusimulia, lakini yote yalipita na sasa raha mstarehe mambo yanaendelea.

Elewa nature; sisi wanaume tunatekwa na kumalizwa na wanawake kwa maneno ya upole na hekima, hakika nakwambai kwa mwanaume hata kama yeye ndie mwenye kosa lakini mke akatumia lugha ya ubabe(kumbuka Delila alivyomteka Samson) halipatikani suluhisho, haki ya nani moto unaongezeka badala ya kupoa. Achana na kanuni za Tamwa na Tawla etc bali tumia nature/hekima.
 
Dada Rain,
Tatizo lako kwa kweli tunalo wengi tulioolewa. Mimi pia nina tatizo kama lako maana niko mkoani na mume wangu yuko Dar. Ni mtu mwema sana na aliyetokea kunipenda sana zamani lakini amepunguza sana upendo. Mwanzoni nilianza kufikiria kuwa kuna watu wananisaidia (kama wengi wanajf wanavyokwambia) na nikafanya safari nyingi tu za ghafla za usiku wa manane na za asubuhi lakini wap sikuwahi kumfumania. Actually niligundua kuwa mume wangu hakubadilisha patern yake ya maisha baada ya mimi kuondoka. Nilipochunguza sana niligundua kuwa alibaki na tabia zilezile alizokuwa nazo na actually alikuwa mpweke zaidi.(Sasa sijui kama alikuwa anaigiza lakini niligundua kitu amabcho sikuwahi kukijua kuwa mume wako is a loner n relies so much on me kama mtu wa kumpa sapoti -kitu ambaocho i must admit nilikuwa sikifanyi).

Rain dada yangu,
Wanaume ni kama Tembo. Miaka nenda miaka rudi watapita njia ileile waliyopita wakiwa watoto wadogo wakiongozana na wazazi wao. Hawabadiliki hata chembe na hata ufanye nini hutawabadilisha. Nakushauri uangalie namna alivyolelewa na jinsi wazazi wake walivyoishi. Kama ukiona anafuata patern ileile ya maisha ya wazazi wake na kuna ya mmoja wao anaifuata zaidi basi wewe fuata ile iliyo opposite na ya yule mzazi mwingine. Kwa mfano: Kama mumeo najiidentify na baba basi wewe jitahidi uwe opposite na tabia za mama mkwe (This is a golden rule).

Nitakupa mfano wa namna nilivyoweza kutatua tatizo la mimi na mume wangu.

Mume wangu alikuwa na kazi nzuri tu na mimi pia kazi yangu ilikuwa ya kawaida sana. Tilipoanza mapenzi tulikuwa na ndoto nyingi pamoja lakini kwa kuwa kuna tofauti kubwa ya kipato nilijenga dhana kuwa sitashiriki sana kwenye shughuli za familia yangu maana mimi nina kipato kidogo na yeye anacho kikubwa na anaweza kumudu gharama za kunihudumia mimi na mwanangu. Wakati huo nilikuwa naye mmoja. Kwa kuwa mimi natokea kwenye familia ya wakulima niliona sasa ni wajibu wangu baada ya kusoma kuhudumia familia yangu iliyonisomesha na kunitunza mpaka nikaolewa. Japo mimi ni mtoto wa kike na nina kaka nilidhani ni jukumu langu kuweka mkazo wa familia yangu ili nayo inyanyuke na kuwa familia ya mfano kijijini kwetu ili watu wajue kuwa wazazi wana watoto wamesoma.

Bila kujijua nikajikuta naweka concentration kwenye familia yangu na kusahau kuwa familia yangu mpya hasa mume wangu anateseka maana sasa nilikuwa wakati wote sina hela na nikaanza vituko vya kulazimisha matunzo yangu na mtoto. Nilifika wakati (usishangae) nilikuwa narudi kwa mume wangu lakini sitaki nitumie hata shilingi yangu kununua vitunguu. Kwa kuwa mume wangu hakuwa mlalamishi na labda kwa woga wa kuonekana weak akawa na yeye anaanzisha ubishi wa kutotoa matumizi hata yale ya msingi. Sote tukawa vipofu. Mimi niko busy na familia yangu na yeye yuko bize na kazi yake. Tukiwa kwenye mood tunaongea vizuri mambo mengine inagawa katu hatuongelei anything about our future together. Tukianza ugomvi tunakaa kimya hata siku tatu bila kuongea na mwisho naona ujinga naamua kurudi zangu mkoani. Tukiwa katika hali hii ya kutokuongea nilikuwa namjaribu mume wangu anipe nauli na matunzo yangu, ya mtoto na ndugu zangu ninaoishi nao mkoani lakini wapi akawa anagoma. Sikuwa najali sana maana ningeonekana dhaifu na mimi nimelelewa kujitambua kuwa ni mwanamke wa shoka asiyeshindwa kitu.

Mpaka hapo najua umeanza kuona tatizo liko wapi. Nitakuja baadaye kukueleza nini nilifanya.

Wapendwa, nakwazika na hapa nimekuja kutafuta advice na vilevile kufunguliwa akili.
Nina mume, nikahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine yeye akabaki dar, nilikuwa niko tayari kuacha kazi ili mradi tu tusitengane, au asione nimejali kazi zaidi yake, lakini alinitia moyo na kuniambia niende kufanya kazi, akani assure kuwa kila kitu kitakuwa sawa, tutakuwa tunaonana kila mara maana mikoa hii ni ya jirani. Cha kushangaza mwenzangu hataki kabisa kuja kutusalimia, yani nisipoenda mimi dar basi, yeye wala hashtuki hata weekend, watoto ninao mimi huku, sasa hii inamaanisha nini? kwa ufupi hajihusishi na kitu chochote kuhusu sisi, hatusaidii hata kodi ya nyumba japo yeye dar halipi kodi, wala matumizi wala nini, nothing. hata nikienda kmimi hatoi hata pesa ya nauli ya mimi kurudia huku wala hajali kama nalazimika kusafiri na watoto sometimes ili wamwone baba yao.
Nifanyeje? nimechanganyikiwa hapa nilipo, au ndo njia ya kuget rid of me? kanichoka? au ndo nishawaachia wenzangu huko? niache kazi nirudi tubanane? nipeni tafsiri ya haya, is it normal kwa familia zingine? pls nipeni uzoefu wenu.
 
Back
Top Bottom