Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
- Thread starter
- #21
Jamani naendelea ku-compile data. Baada ya muda nitazimwaga humu jamvini watu wajionee wenyewe kuhusu hako kamchezo kachafu ka wahaya.
Waongo utawajua tu wakati unaanzisha thread kwanini hauku-compile hizo dataJamani naendelea ku-compile data. Baada ya muda nitazimwaga humu jamvini watu wajionee wenyewe kuhusu hako kamchezo kachafu ka wahaya.
Wandugu,
Leo nimeipata stori ambayo imeniacha mdomo wazi mpaka napoandika thread hii. Eti enzi zile jamaa wa kihaya akioa mke na bahati mbaya au nzuri akisafiri, wadogo zake wa tumbo moja wakizidiwa ni ruksa kupata huduma kwa shemeji yao bila wasiwasi. Jamaa aliyetumegea hii stori anasema kwamba haka katabia ndiyo kaliwapukuta wahaya wengi sana wakati UKIMWI ulipopiga hodi mkoa wa Kagera. Haya wataalam wa makabila na wahaya original, mnasemaje? Je, kuna ukweli wowote kuhusu suala hili?
Jamani naendelea ku-compile data. Baada ya muda nitazimwaga humu jamvini watu wajionee wenyewe kuhusu hako kamchezo kachafu ka wahaya.
Waongo utawajua tu wakati unaanzisha thread kwanini hauku-compile hizo data
Inawezekana habari hii ina ukweli ndani yake. Si kwa shemeji 2 hata kaka na dada, huwa wanasema kabila hili huwa hawanyimani. Ninamfahamu dada mmoja ana uhusiano na kaka yake (Mtoto wa baba mdogo) hapa Dar. Hata wakikutana ugenini kama nchi za nje na mikoa ya mbali wakijua wanatoka kabila moja huwa hawanyimani... They say..

kashaijamatege...ooooops m soreee...Kashaibutege....shusha nondo hapa...!!!!Wandugu,