Hili kwangu limekuwa jaribu sana toka kwa wife; anataka kuniua

Umesema mke ana gari dogo na wear kubwa yaani SUV,halafu unasema mke umembadilishia gari mwezi April kutoka mark X ,..to harrier.Sijajua bado nikueleweje,
 
Madhara ya kukaa na mke mwaka mzima hujam bust hata Kofii moja ndio haya.

na anakoelekea ni kukukosea adabu zaidi, we ngojea endelea kumchekea chekea tu.
Kabisa naunga mkono hoja, mimi wife ananimbiaga kuna siku unavutaga bangi nini? huwa namchenjia mpaka haamini issue ndogo nakomalia mpka unaanza kumuonea huruma.

Last week tulikuwa na sendoff ya cousin wa wife kibaha huko mimi sikutaka twende nilitaka tuipotezee lakini (nilijua kwa jinsi ukaribu na hiyo binti asingeelewa) sipendi driving za usiku halafu pia haina pombe ningeboreka basi ikiwa imebaki siku 2 akaniandikia sms "Kama hutaenda nimwambie mdogo aje ampeleke" hiyo kauli si mbaya lakini niliibadilisha ikaonekana haikufaa kuniandkia sms kama hiyo, nimbafilikia mpka akaomba msamaha nikajifanya bado na hasira, ila nilimuonea huruma tukabidi tuende ila alisisitiza tutarudi mapema.

Wanawake inabidi kuishinao kwa akili sana.
 
nimecheka kama mazuri...sio upendo huo Controla
wakati mwingine mnajisahau na nyie,mkiona tunawapet pet ndio akili zinawarukaga zote

kichwani kuna baki na chembe chembe chache sana ambazo bila kofi haziwezi kaa sawa.
 
Kosa lake ni kutomwambia tu kuwa amekopa kwa kadi yake

Lakini amuulize kwanza je amefanyia kitu gani huo mkopo, huwenda amefanyia kitu cha maana sana ,tena chenye maendeleo ktk familia

Usikute mwanaume nae kuna mapungufu yake anayo...msimuhukumu kwanza jmn

Nyie wanaume nyinyi mda mwngne mwnmke anakuomba kitu humpi, anakushaur fny kitu iki hutaki, unfkr atafny nini zaid ya kujikopea mwnyw tu

Pujo hufai kuwa hakimu maana utaegemea upande wa mwenzako tu.

Kumbuka huyo ni mke na si mchumba wala nyumba ndogo

kitendo cha kufanya tu chochote bila kunishirikisha ni kosa la jinai

bila kuangalia alienda fanyia nini.
 
Yn sometimes wanawake sijui wapoje ukiwapa Uhuru tabu ukiwabana shida they are very undefined... Pole kaka
 
Mzizi wa tatizo lako ni kuwa mliunganishwa na hela wakati mna date sasa ina back fire!!!nenda mahakamani!!kama umezaa nae lea watoto mpige chini taahira huyo!!!pumbav kabisa!!!!
 
Pujo hufai kuwa hakimu maana utaegemea upande wa mwenzako tu.

Kumbuka huyo ni mke na si mchumba wala nyumba ndogo

kitendo cha kufanya tu chochote bila kunishirikisha ni kosa la jinai

bila kuangalia alienda fanyia nini.
Mi sijakataa kuwa hana kosa, analoo ndo mana nilisema apo juu kuwa kosa lake ni kuchukua pesa bila kumshirikisha mumewe
 
Back
Top Bottom