Hili Jina la Pikipiki ya Mchina Duh!

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
attachment.php


<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="600"><tbody><tr><td align="center"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td align="center">
logo.jpg

Jiangmen Jinyee motorcycle Co.,Ltd</td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr bgcolor="#bbbbbb"> <td height="2">
1pixel.gif
</td> </tr> <tr align="center"> <td> Inquire Now | Add to Inquiry Cart | Trade Leads </td> </tr> <tr align="center"> <td> Company Profile </td> </tr> <tr> <td> </td> </tr> <tr> <td align="center">
mainl.jpg
[SIZE=-1] JINYEE was established in 1999 as a key exporter of various kinds of dirt bike, ATV, motorcycle, off-road bike, moped, scooter, tricycle, electric bicycle, electric motorcycle, and generator, motorcycle parts, etc. [/SIZE]<table border="0" cellpadding="5" cellspacing="0" width="650"> <tbody><tr valign="top"> </tr> </tbody></table></td></tr></tbody></table>
 

Attachments

  • pikipiki ya kichina.jpg
    pikipiki ya kichina.jpg
    30 KB · Views: 343
Kuna jamaa mtaani kwetu alikuwa na pikipiki ya hivyo watu wakawa wanamuita jina hilo anamind kweli.
 
hiyo bizaa ikiletwa tz itakufa kifo cha mende kama juisi ya yeboyebo....
 
Hi hi hi hi hi hiiiiiii! Wemama wemama ha ha ha ha ha haaaaa! Du! Mbavu nazipeleka MOI. Kila anyepanda pikipiki hiyo kwa hiyo aji.... he he he he he heeeee!
 
Wachina sasa ni kilakitu. Lakini kwa lugha ya kwao halina maana mbaya, wakigundua kuwa jina hilo linaua biashara yao Bongo, watabadili na kubuni jingine la kuvutia biashara yao kama walivyo fanya Wajep " Bongo Hiece ".
 
kuna moja niliona sehemu initwa jimboo!!!
ngoja nicheck!!!1

hahahaaa!
 
Labda hilo jina linamaanisha HONDA kwa Kichina ngoja nimuulize mchina mmoja rafiki yangu hapa jirani
 
hahaha, wengine hatuna la kufanya bali kuvunja mbavu za wenzetu, Du research kama hii inafaa ule udokta unaopewa viongozi wetu!
 
Dah! Wachina kweli Chiboko! Na aliyefukunyua mpaka akaliona hili naye pia Chiboko!:pound::jaw::roll:
 
Back
Top Bottom