maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,144
- 15,144
Kutokana na kasi ya utumbuaji kuwa siyo ya kawaida na kila mtu sasa kutaka sifa ya kumtumbua mwenzake, nimetafakari na kugundua hiki ndio kipindi kibaya kuliko vyote kuwa kwenye ajira iwe serikalini au taasisi binafsi.
Maana huwezi jua ninani anaweza kukuingiza 'King' ukajikuta unatumbuliwa na hii ni kutokana na kufanya kila kitu kwa mazoea. Mbaya zaidi ukijifanya mbunifu au mtu wa kujiongeza unaweza jikuta umeharibu au ukaonekana ulikua na nia mbaya na ukizubaa kidogo napo unapewa teke.
Hakuna pa kugeukia, nawaonea wivu masela wanaofanya ishu zao kitaa tu.