Hiki ndicho kizazi cha sasa cha hawa mabinti

Omba wasikutane na mkeo wakimpenda huwa wanatongoza kabisa hao wasagaji yaani hapo utakuwa huna mke tena maana namna yao yakufanya mapenzi ni tofauti kabisa na mwanaume wana uwezo mkubwa wakufanya mapenzi wao kwa wao kwa muda usiopungua masaa 4 hadi sita kama ni mkeo unapapasa kwa dakika 45 tena nyingi deki ndiyo hataree sana na ndiyo kitu wanapenda kufanyiana ni swala la muda tu wako kila kona.
Sasa wakimchukua mke wangu mimi nitapungukiwa na ninj?
 
No I'm not struggling. But would you please share your experience (if you don't mind), as in how you ended up being who you are now.

I think it will be a great lesson to people and may be it will change their perceptions about LGBT and at the same time help them in the upbringing of their young ones.

Thank you for being understanding.
watu huelewa from their own level of understanding and kuhusu ushauri nishatoa
 
Umesha anzisha familia? Namaanisha mume na mke, halafu mmebahatika kupata watoto?
Maisha ya duniani yaacheni yapite, maumivu ayapatayo mzazi kwa mienendo mibovu ya watoto hayapimiki.
Muombe sana Muumba wako akunyoshee uzao wako.
Hakuna mzazi aliye fundi kwenye malezi ya watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzazi unatakiwa kujua kwanini Mungu alimuumba mtoto, Mungu amemuumba kila mtoto kwa kusudi lake, KWAMBA SI KUSUDi LA MUNGU KUUMBA MSAGAJI AU SHOGA.

Narudia tena kuandika malezi na makuzi ya mtoto leo, ndio yanayo mfanya awe kesho.


je umewahi jiuliza kwa nini ushoga na usagaji na matumizi ya madawa ya kulevya sasa umeshika kasi kuliko wakati wowote?.
 
Kuna mwamba humu amefanya uzi wake
Amatetea nafsi yake kufilwa

Dah amakweli tunatofautiana
Yaani mim mwanamke akiwa kama wenge tu hua siwezi kusimamisha
Afu kunamwamba anasimamisha kwa mwanaume mwenzie daaah
 
Hao dawa Yao ni kupiga pumbu alaf unachora hao ni type ya akina salama, sjui DJ Fety , mamy baibe , Mina ally and the like ...hakuna kuweka kambi hapo....
DJ fty Kwa sasa naona kaacha
Huo ujana karud kua mwanamke analea mtoto
Wake vizur
 
Hao watu mimi wala sina matatizo nao, maisha yao kwa mpango wao. Tatizo hapa linakuja kwa gay men, wanapenda attention kuliko kawaida. Wasumbufu sana, wakiona wanaume wanajigeuzageuza mpaka kero. Wanafikiri wanaume wote tunapenda wasenge. That's not cool. Gay or not, mind your business, usiwaletee usenge wako watu wengine.
 
Back
Top Bottom