Hiki ndicho kizazi cha sasa cha hawa mabinti

Wengi wao huwa watundu sana kwa bed,huwa napenda niwe na mchepuko wa namna hii
 
most people hudhani its all bout malezi ila in reality it takes more than that.im a living proof by the way cause sipo the way i am cause of my upbringing ni vile nipo tofauti from the rest kwa identity
Hebu jaribu kuelezea unaweza kufungua ufahamu wa watu, yaani nini ambacho wewe umekona uko tofauti?
 
Unfortunately about parenting. You will only know if you did a good job when they are adults! Hivyo piga maombi kukomboa uzao wako.
 
Back
Top Bottom