Hiki ndicho kizazi cha sasa cha hawa mabinti

kuwa karibu na mtoto wako friendly aweze kukuuliza chochote including sex issues na experiences zake. this way utaweza kuelewa mzunguko wa maisha yake na kama kuna hatari ama any changes utaijua mapema na kuidhibiti
Asante sana Confession, kwa namna unavyojibu maswali humu, hata yanayokwaza, napenda nikupongeze you are a good guy. I wish you all the best.
 
you are intelligent and well learned without a doubt but hii acting ya kujifanya hardcore nigger na kuuliza silly questions just usionekane different from the rest ni kwa ajili ya nini?.
Are you struggling to fit in
No I'm not struggling. But would you please share your experience (if you don't mind), as in how you ended up being who you are now.

I think it will be a great lesson to people and may be it will change their perceptions about LGBT and at the same time help them in the upbringing of their young ones.

Thank you for being understanding.
 
Jaman hz topic tuachane nazo znapromote ujinga...modes pga ban hii Uzi aisee...watu wataanza kutake things easy ...Kuna watu mna watriga humu , wengine waneza tafuta mchepuko wa kiume achen hzo bas achanen na hz topic s vema hata kuzijadili
 
Hawa watoto wa siku hizi u lesbian ndio michezo yao. Mtoto wa kike anamwita wakike mwenzie 'mume'. Nilishangaa sana.
Hakuna kitu kama hicho.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Wengi kati ya hao ni wa Single Mama au Baba.
Na wengine toka kwenye familia zilizotetereka au terekezwa.

Fanyeni utafiti mtagundua hii kweli.
 
Hakuna kitu kama hicho.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Wengi kati ya hao ni wa Single Mama au Baba.
Na wengine toka kwenye familia zilizotetereka au terekezwa.

Fanyeni utafiti mtagundua hii kweli.
Watoto wakishua wengi ndio waathirika mkuu wala sio wanaotokea kwenye hali duni.
 
Mbona kama ni wadada hao mkuu?

Ndio hivyo mpenzi.... hata hawa ni wakaka...

1619532323738.png
 
KUPANGA NI KUCHAGUA ACHENI KUINGILIA MAAMUZI YA MTU
Omba wasikutane na mkeo wakimpenda huwa wanatongoza kabisa hao wasagaji yaani hapo utakuwa huna mke tena maana namna yao yakufanya mapenzi ni tofauti kabisa na mwanaume wana uwezo mkubwa wakufanya mapenzi wao kwa wao kwa muda usiopungua masaa 4 hadi sita kama ni mkeo unapapasa kwa dakika 45 tena nyingi deki ndiyo hataree sana na ndiyo kitu wanapenda kufanyiana ni swala la muda tu wako kila kona.
 
kuwa karibu na mtoto wako friendly aweze kukuuliza chochote including sex issues na experiences zake. this way utaweza kuelewa mzunguko wa maisha yake na kama kuna hatari ama any changes utaijua mapema na kuidhibiti
Nimeipokea hii
 
  • Thanks
Reactions: THT
Back
Top Bottom