Hiki ndicho kilikuwa vikosi vya CCM na CHADEMA vya kampeni! Tucheki tofauti zao

Kengele zao, chezea chadema nyinyi, mi kinachonifurahisha ni kuwa yale maeneo yote yenye vijana wasomi km Makumira na Tengeru CCM imechapwa vibaya sana, na ushindi huu ni dalili ya ushindi wa urais 2015 na viti kibao vya ubunge.CCM :tape2:
 
Hahaha sugu alikua anapita vijiweni na kuomba kura kwa free style eti ( vijana ndo wakati wenu amkeni mapema..ccm sio yenu chagua chadema..kura zote nikwa nasari anaejua matatizo ya meru..kula hela zo ni shwari ila kwenye kura chagua nuru...)
 
Hivi ndivyo vilikuwa vikosi kazi vya CCM NA CHADEMA katika kampeni ARUMERU, na kila mtu alikuwa na Majukumu yake..,hapa ndio tutajua kwanini CCM walishindwa na CHADEMA walishinda..!

Hiki ndicho Kikosi kazi cha CCM na Majukumu yao!

1.Mwigulu Nchemba..Kazi yake ilikuwa kuongoza Kampeni na Kuwadanganya wananchi

2.Livingstone Lusinde..Kazi yake ilikuwa moja tu Matutsi na Propaganda

3.Stephen Ngonyani (Prof.Maji marefu)..,Kazi yake ilikuwa moja tu Kuroga na kufanya kazi ya Uganga(Uchawi) na Ushirikina

4.Christopher Ole Sendeka..,Kazi yake ilikuwa Kuendesha kampeni za Kikabila na chuki.,alihamasisha watu wampinge Vincent kisa eti anatoka musoma

5.January Makamba..,kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana waipigie kura CCM kwa kuwalaghai kwa pesa na ahadi za kuwanunulia Pikipiki (toyo)

6.Kapteni Komba..,Kazi yake ilikuwa kuimba tu

7.Stephen Wasira,.Kazi yake ilikuwa moja tu..UMBEA

8.Esther Bundala,,.Huyu Alikuwa hajui kaenda Arumeru kufanya nini..? kwa kifupi hajielewi kwanini ni mbunge na wajibu wake ni nini ndani ya chama na serikali

9.Ben Mkapa..Huyu mmmh.Mungu amsamehe kwani hajui atendalo

10.Mary Nagu=sijui kazi yake ilikuwa nini..,maank wananchi hawakumuelewa kitu alichokuwa anaongea jukwaani sijui ecology,mara economics sijuy zonal..mmmh





Sasa tucheki kikosi kazi cha Chadema..,ambao walikuwa wachache tu

1.Vincent Nyerere..,Huyu alikuwa kiongozi wa kampeni

2.Mchungaji Msigwa..Huyu kazi yake ilikuwa ni kupambana na Fitna, na Ushirikina (Uchawi)

3.Joseph Mbilinyi ''SUGU''-Kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana wapige kura CDM.,NA kujua hali halisi za Masela {vijana wa mtaani}

4.Mchungaji Natse-Huyu Pia kazi yake ilkuwa kupambana na Mapepo na Uchawi ukizingatia Nguvu nyingi ya Uchawi ilitumika..,Na pia kumwaga sera kwa wananchi

5.Dk.Slaa,Zitto na Mbowe- Hawa niwaache tu maanak hawa watu ni exclusive..,nadhani kazi zao mnazijua
6.Halima mdee-kazi yake ilikuwa kuhamasisha wanawake kupiga kura na kinadada

7.Godbless lema-kazi yake ilikuwa kuhamasisha vijana kulinda kura zao kwa ujasiri


Aaaaaaaaah Kikosi cha CHADEMA a.k.a Movement 4 Change HAKUNAGA!!
 
wapi tendwa,wazee wa kishiili?hongera zenu makamanda wote,machalii wa meru,r chuga,ms,na wote mliuombea uchaguzi na kujitoa kwa hali na mali
wazee wa kishili feki wale walinunua wazee mtaani kujiongezea umaarufu!
 
wapi tendwa,wazee wa kishiili?hongera zenu makamanda wote,machalii wa meru,r chuga,ms,na wote mliuombea uchaguzi na kujitoa kwa hali na mali

Na mie nilitaka kuuliza swali hilo hilo.
Tendwa=CCM na kinyume chake.
Big up sana kwa mkurugenzi wa halmashauri ya Arumeru kwa kutokubali kuchakachua
 
Tehe tehe tehe kama ingekuwa mechi ya Soccer kutoka 1..............6 ilikuwa balaa hizo beki ni nouma na hyo kiungo ndo usiseme kabisa wavu usinge tikisika kama ilivyo tokea,Nimeipenda sana kauli mbiu ya Nassary "TUMEANZA NA MUNGU TUMEMALIZA NA MUNGU" Maji Marefu yakageuka maji ya Unyayoni hata kichanga hazami.

Hizi ni salamu kwako JK anza kuandaa makabidhiano ya Nchi kwa kuweka majina ya CDM KILA PANAPOHITAJIKA
 
Mimi kwenye namba saba nipo hoi,,,,,,, lakini hili zee bana ndio maana hata Bunda hawamtaki, na akifika halali. anakwenda kulala Mwanza, anaogopa mawe huyo!!!! kwi kwi kwi kwi kwi.
 
Mbona mkuu umewasahau au kwa vile waliingia dk 5 kabla ya mpira kuisha- sijakusikia khs Baba Mkwe(Mzee wa hapo vipi..), Chatanda wala OleMilia - tusaidiane na tuwe fair pia na hawa wana mchango katika kidogo kilichopatikana
 
hapo kwenye namba 7 umesahau kitu. Yule alienda kuhasisha wananchi wapate muda mrefu wa kusinzia hujui kaondoka na TANFOAM mpyaaa!
 
Ongeza na hawa;
8.polisi kusaidia wizi wa kura
9. Isaya mgull- kutumia gari ya polisi kubebe kura za wizi ili kuiokoa ccm
Then kwa LEMA oNGEZA HILI; kUTOA KICHAPO KIKALI KWA YOYOTE ALIYETHIBITIKA KUVUNJA SHERIA ZA UCHAGUZI, HASA KUINGIZA KURA FEKI KWA MAGAMABA
 
Back
Top Bottom