😂 😂 😂 😂 😂Kwa hilo wenge kipimo unaenda kuthibiltisha tu karibu tukupatie DTG
Mbona ghafla sana jamani???Ety wakuu hiki Kilimo Cha HIV naweza kukipata kwenye Pharmacy shop..?
Labda upime hapo hapo sio kuondoka navyoHuwa vinatolewa Bure,, kwenye hospital au vituo vya Afya..?
Vipimo vinapatikana kwenye phamacy nyingi tu tatzo zaidi ni maji yanayowekwa pamoja na damu ili kutoa majibu
Wengine huwa wanakubali kuyauza unanunua syringe anakuwekea ila kuna wapuuzi huwa hawatak kuyauza
Fika zahanati ya karbu uanze dozi mara mojaWapi huko mkuu..?
Hiki kinaonesha maambukizi unayo siyoWakuu, hiki Kipimo Cha HIV naweza kukipata Pharmacy shop..View attachment 2714538
Hahaha! Noma sanaUjasiri wa kupima unatoa wapi