Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 412
Wana JF habari za mapumziko ya mwisho wa wiki...Kuna tangazo moja redioni la Haki Elimu linanifurahisha sana..Ni pale mwalimu mkuu anapomuagiza mwalimu mmoja kufundisha somo la hesabu na jamaa kabisa anaonekana kukosa kujiamini...Kubwa ya yote ni pale anapoanza ku-introduce hiyo topic ya "Skwea ruti a.k.a kipeuo". Mpaka kipindi kinakwisha mwalimu hajakamilisha hiyo introduction na mwisho anawaambia wanafunzi wakafanye mazoezi....Hiki kipeuo cha mbili yaaani skwea ruti, ili tuelewe vizuri hiiii skwea ruti hii inakwendaaaa ngoja niandike ubaoni ili muelewe vizuri...Sipati picha kwa aina ya mwalimu huyu kama wanafunzi wanatoka na knowledge yoyote..