Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
Kwa mtu anayekusoma for the first tyme they may think you have a point!!!!!!!!!!
Unajua Ngongo record yako kuwa against Lema hata mtoto mdogo angejiuliza why????????? I told u before swallow ya pride and move on!!!!!! Lema ndiyo mbunge yule jamaa yako wa TLP au sijui ndiyo wewe mwenyewe asubiri mpaka hiyo 2015 kama siyo 2020. Na hii andama andama isiyo na kichwa wala miguu ndiyo inazidi kumjenga hahah ahahah ahahaha!!!!!!!
Nyambala acha ujinga uchaguzi wa mbunge Arusha mjini ni mwaka 2012.Vipi unaishi dunia ipi au kwenye vile vijiwe vya wavuta bangi !.Hivi unafikiri nini sababu ya maandamano na vurugu za madiwani Arusha.Kwa taarifa yako Lema anajua wazi lazima atengeneze mazingira mazuri ili uchaguzi ukirejelewa hata kesho anashinda kiulani.
.
Nilikuwa busy kidogo nakusoma....Nitaunganisha mabadiko yako utakapo endeleza unafiki wako.....Kamanda wangu Crashwise hodari sana wa kuunganisha mabandiko yangu sijui leo atayaleta ili wanajamvi wapate references za kutosha ?.
Acha uoga wewe, mtoto wa nanihii ndo nani? Unaogopa hata kivuli? Mwaga live bana.
Uchanguzi tuna hamu nao sana tu tena siyo wa Arusha peke yake ni wanchi nzima na bado Lema atashinda kwa kishindo...bila kujari watu wake wanaishi kwenye dunia ya vijiwe vya wavuta bangi na ukirudiwa leo ndiyo mtaisoma....Nyambala acha ujinga uchaguzi wa mbunge Arusha mjini ni mwaka 2012.Vipi unaishi dunia ipi au kwenye vile vijiwe vya wavuta bangi !.Hivi unafikiri nini sababu ya maandamano na vurugu za madiwani Arusha.Kwa taarifa yako Lema anajua wazi lazima atengeneze mazingira mazuri ili uchaguzi ukirejelewa hata kesho anashinda kiulani.
.
Mkuu Freedom Of Flag.
Kwa heshima kubwa lazima tukubali watu,ndugu,jamaa na marafiki tunaowapenda wanaweza kuwa wahalifu bila jamaa zao wa karibu kufahamu na wakati mwingine hata wakifahamu watajaribu kupooza kwa namna yoyote bahati nzuri kiswahili kina misamiati kibao eg kasogeza badala ya kaiba.Hata yale majambazi yanayopigwa mawe/chomwa na matairi na kufa yanakuwa na watu wa kuwalilia na pengine kulaumu kwa unyama walitendewa mara nyingi hawapendi kusikia au kuambiwa ubaya wa mtu wao na ndicho ninachokiona hapa.
Habari za Mheshimiwa Mbunge Lema kuhusishwa na ujambazi hazikuanzia kwa kamanda Zombe kama baadhi ya wanajamvi wanavyolazimisha tuamini zilianza siku nyingi sana pengine umekuwa mvivu hapa jamvini.Tunajua Mgonja aliwahi kushika wadhifa wa katibu wa mbunge jimbo la Arusha mjini.Katibu wa mbunge ni mtu wa karibu sana kwa vyovyote alishiriki kuanzia mwanzo wa kampeni hadi mwisho akapewa jukumu la kumsaidia mbunge.Umetufahamisha kwamba katibu wa mbunge ni Bwana Gabriel Mbuki.Hakuna ubishi kwamba Mbuki hakuanza kazi ya ukatibu wa mbunge mara baada ya Lema kushinda ubunge hivyo tunakubaliana Mgonja alianza kazi ya ukatibu na baadae sana sijui mwezi uliopita au mwaka jana Mbuki akampokea kijiti.
Ikiwa Mgonja kahushishwa na ujambazi lazima abebe zigo la dhambi zake hakuna haja ya kumtetea kwa namna yoyote.waandishi wa habari wana haki kabisa ya kufichua maovu bila kujali uhusiano wa mtuhumiwa au wadhifa wa mtuhumiwa.Sina tatizo na mwanahabari kufichua wadhifa wa mtuhumiwa wala Lema hata kuwa mwanasiasa wa kwanza kufanyiwa hivyo.Sidhani kama mbunge alimtuma Mgonja kufanya uhalifu kinachonikera ni aina ya utetezi wa hovyo kabisa ambao umekuwa ni sehemu ya utamaduni hapa jamvini.
Tuache waandishi wa habari wafanyekazi kwa uhuru wa kutosha hakuna mtu aliyealazimishwa kuisoma kama huitaki acha wengine watasoma.
Najitadi kukusoma lakini sija kupata bado leo unashadadia kitu gani au pointi yako ni nini?
Acha waseme tunasubiri siku 30 za kuingia ofisi ya mkurugenzi wa manspaa Arusha maana vurugu zoote za siasa za Arusha ni mkurugenzi.
Kwa mtu anayekusoma for the first tyme they may think you have a point!!!!!!!!!!
<br />Mbona kuhusu huyu Katibu wa Mbunge kuna mkanganyiko? Mara siju Mbuki mara anakuja huyu Lucia Francisco mara mwanzoni alikuwepo Mgonja!! Yupi ni yupi? Barua inasema Mgonja amepata kazi nyingine!!!! huenda ndio hiyo sasa!!!<br />
<br />
Mkuu Mpaka Kieleweke nadhani kuhusishwa kwa Lema kuna logic. Logic yenyewe ni kwamba Zombe alishasema kwamba Lema ni Jambazi na Lema amewahi kuwa na uhusiano na Mgonja kama Katibu wake na Mgonja amehusishwa na ujambazi. Basi mkuu hapa nadhani mwandishi alitaka kuonyesha kuwa kama A=B na B=C basi A=C!!!
<br />Hili siyo gazeti huru, sipotezi mda wangu kulisoma
Nilikuwa busy kidogo nakusoma....Nitaunganisha mabadiko yako utakapo endeleza unafiki wako.....
Nyambala acha ujinga uchaguzi wa mbunge Arusha mjini ni mwaka 2012.Vipi unaishi dunia ipi au kwenye vile vijiwe vya wavuta bangi !.Hivi unafikiri nini sababu ya maandamano na vurugu za madiwani Arusha.Kwa taarifa yako Lema anajua wazi lazima atengeneze mazingira mazuri ili uchaguzi ukirejelewa hata kesho anashinda kiulani.
.
Najitadi kukusoma lakini sija kupata bado leo unashadadia kitu gani au pointi yako ni nini?