Hii wiki hali ya mashabiki wa Yang ni mbaya kuliko maelezo

Sultan MackJoe Khalifa

JF-Expert Member
Nov 24, 2022
5,508
11,266
hii ni wiki ya mateso,dhoruba,milipuko ya moyo na presha kupanda kwa mashabiki wa Utopolo.
mashabiki wa Utopolo wanaumizwa na mafanikio ya Simba.

images (1).jpeg

kuna mmoja katangaza kwa uchungu kuachana na soka,tukio kubwa la soka Tanzania la uzinduzi wa michuano mikubwa Africa yeye kutokuwepo imemuuma sana.

wanatamani image ya Simba kimataifa iwe yao,masikini lakini hawawezi kuwepo alipo Simba kwasababu ni washamba tangia zamani,sio wabunifu,wagaigai lakini pia awana mvuto.

wanasimba tukutane kesho Lupaso kwenye jambo letu.unyama ni mwingi sana.
kesho Simba atamimina pila Arsene Wenger,,pila la Dunia,,pila la FIFA.

Nguvu moja💪
 
Back
Top Bottom