Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 15,849
- 24,321
Salaam Wana JF
Baada yakuhitimishwa Kwa mashindano ya kombe la mapinduzi..Mimi kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF Leo nawapa fact hii
Kwanini Simba ya robertinho ilikuwa Bora?
Mzee robertinho as alijua kuwa hana quality players wa kujivunia ila alikuja na slogan ya objective football ambapo yeye hakujali soka lunyasi ....Bali matokeo na timu ilijitahidi
Simba ya Benchika ... haelewi inafanya Nini uwanjani wachezaji hawako motivated hakuna muunganiko ....lile suala la kumfunga wydad ndilo lilimbeba benchika....lkn wydad kiwango Chao kimedrpo sana ....mechi 6 kule kwao hajashinda hata moja
NB: Simba bado inatawaliwa na kivuli Cha nje ( Kuna watu waanzisha sekeseke) bahati mbaya mashabiki wa Simba wanajaa kwenye mfumo na kufanya management kufanya maamuzi mabaya under pressure ( divide and rule)