Hii tabia ya kukata pesa pembeni, inaharibu pesa zetu, tuiacheni jamani

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Aug 10, 2021
2,035
2,686
Wabongo ni watu waajabu sana,tunaviimani vya kipumbavu sana,sijui tumetoa wapi tabia zisizonamaana yeyote.

Hii tabia ya kukata ela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote,
Kila pesa nayoishikilia iwe jero,buku,kaki hata msimbazi ukosi kukuta haijakatwa pembeni wanasema ukikata inakuepusha na chuma ulete.

Hakuna kitu kinaitwa chuma ulete,kwanza siaminigi viimani vya kipumbavu kama hivyo,daima akili ndogo huwaza ujinga.

Watanzania wenzangu tuacheni imani za kijinga,kama huna matumizi na ela yanayoeleweka daima utapoteza pesa zako,sio unasingizia chuma ulete.

Chuma ulete ni hadithi za kufikirika tu,hazina maana tuzitukuze

ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD,
APPROXIMATELY ONCE AGAIN.....
 
20221020_135342687.jpg
 
"Chuma ulete ni dhana na imani potofu.Kama matumizi ni makubwa kuliko mapato, huna mfumo bora wa kuhifadhi kumbukumbu, unakula mtaji na kutegemea mapato hayo hayo. Chuma ulete ni wewe mwenyewe, matendo yako na tabia pamoja na mwenendo wako katika biashara au mradi wako".

Adverse Effect, October 2022.
 
Wabongo ni watu waajabu sana,tunaviimani vya kipumbavu sana,sijui tumetoa wapi tabia zisizonamaana yeyote.
Hii tabia ya kukata ela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote,
Kila pesa nayoishikilia iwe jero,buku,kaki hata msimbazi ukosi kukuta haijakatwa pembeni wanasema ukikata inakuepusha na chuma ulete...

Hakuna kitu kinaitwa chuma ulete,kwanza siaminigi viimani vya kipumbavu kama hivyo,daima akili ndogo huwaza ujinga...

Watanzania wenzangu tuacheni imani za kijinga,kama huna matumizi na ela yanayoeleweka daima utapoteza pesa zako,sio unasingizia chuma ulete...

Chuma ulete ni hadithi za kufikirika tu,hazina maana tuzitukuze...

ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD,
APPROXIMATELY ONCE AGAIN.....
Ndio naisikia leo hii
Kweli mambo ni mengi muda mchache
 
Siku moja nasafiri jmaa katoa mia tano mbili ikawa buku afu kaitupa mdoni. Kwa kweli sikumwelewa.
Hiyo mbona afadhali kuna jamaa tumefanya nae mishe wakati tumemlipa pesa kama milioni mbili hivi kabla ya kuhesabu kapokea, akauliza zipo sawa tukamwambia ndio,akazikojolea pesa mbele yetu halafu huyoo akasepa zake, usiniulize huyo jamaa alikuwa kabila gani? Ila kabila lake wengi wao wana imani za kishirikina sana
 
Ukinga
 
Hivi ujawahi kusikia,nadhani haupo bongo
Nipo bongo long time kitambo, sijawahi kusikia hiyo ya kuchana hela.
Itabidi nianze kuchunguza pesa ninazoshika.

Mwaka jana nilinunua kibubu, mdada wangu akaniambia kabla ya kuanza kuweka hela niweke kipisi kidogo cha mkaa au sijui nisugue hela chini ndio niweke kwa kibubu nikashangaa sababu ni binti mdogo tu tineja ila anajua hayo mambo.
Mimi siamini hayo mambo ya chuma ulete labda sababu hayajawahi kunikuta.
Ila story za chuma ulete hua nazisikia sana tu.
 
Jaribu kuchunguza pesa ukizishika lazima kute imekatwa pembeni
 
Mimi naomba niwe tofauti kidogo.

Siyo vizuri kuchana noti, ila chuma ulete nina amini ipo na imenitokea.

Mimi ninafanya kazi kwenye Idara ya Fedha. Sikuwa nina amini chuma ulete; nilikuwa mbishi sana.

Kuna siku nilienda kukusanya hela. Ajabu, nilipoenda kuzihesabu, niligundua pesa kiasi cha shilingi elfu 10 hamna. Lakini, nikakumbuka, kuna dogo mmoja ghafla aliniomba chenji ya elfu 10 wakati ninakusanya hela. Huyo dogo ninakumbuka hakuwa na kazi yeyote ile yaani ni wale watu wakuzurura maeneo ya biashara za watu na kusimama simama kijiweni.

Kwa hiyo nikahusisha moja kwa moja kwamba pale nilipigwa changa la macho, inawezekana aidha nilipewa hela ndogo ila mazingaumbwe yakanifanya nione elfu 10, ama nilizidisha chenji kupitia kiini macho.

Nilipewa dawa ya kuzuia chuma ulete ambayo ni mkaa na ndimu. Unaweka kwenye mfuko wa hela. Toka wakati huo sijapoteza hela kimazingara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom