Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,699
Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita miezi, hadi siku moja niko ghetto nasikia geti linafunguliwa, kuchungulia dirishani, naona huyo mdada anachungulia ndani ya geti, Akaingia ndani ya fensi kidogo halfu akarudi, nlivokutana nae nlijifanya sikumuona, nikamwambia nasikia Kwa majirani kuwa ulintafuta, alikiri kuwa alinitafuta, nlimpanga aje ghetto kesho kutwa asubuhi, alisema atakuja lakini hakuja, mimi nikamkaushia..sikumtafuta.

KINACHONISHANGAZA:
Kinachonashangaza ni kuwa tangu nimefahamiana nae, kila sms alionitumia ingawa ni chache, mm sijawahi kumjibu, sijawahi anza mimi kum-text hata mara moja, Mimi Sijawahi mpigia simu hata mara moja, alinipigia simu nikapokea, akaniambia ameni-miss, mm nikampanga tu aje ghetto Weekend, akakubali, nikajua napendwa, heeee saa ngapi asiniombe elfu 10, shida sio yeye kuniomba hela, au sio kwamba sina elfu 10 ya kumpa, Na sio kwamba sina nia ya kumpa hela, ila ni jinsi alivoiomba, inanipa red flag, mm nimemkaushia, simu zake sitapokea tena, na nitaendelea kutojibu sms zake, na mazoea naye Nakata, nikikutana naye ntampa salamu tu, ikumbukwe tangu nimemfahamu sijawahi kumng'ang'ania wala kumsumbua sumbua kumtongoza, useme ananipiga kizinga ili anifukuze.

Nilidhani nimepata mdada anaenipenda kumbe nlijidanganya, loh
 
Duuh unadhanije ilhali umekutana nae tu!?? Yani mtu kukutana nae tu udhani anakupenda??

Licha ya hivyo pesa muhimu mkuu, kuna jamaa alisema, it's only women and dogs ambao wanapendwa unconditionally but men unapendwa sababu unafanya nn kwenye maisha mtu ama unaleta effect gani kwake!!

Pole na hongera pia mkuu!!
 
Elfu 10 ni nyingi bwashee... Hakika pepo utaiona kwa kumnyima huyo bidada asiye na hata chembe ya huruma na utu....

Hapo ukijisogeza eneo pendwa pale Kimboka unapata wanawake watatu kila mmoja unamkojolea bao moja.. Unabakiwa na buku ya kunywa energy drink kwaajili ya kurudisha nguvu ya kukufikisha ghetto...

Maisha ni akili mtu wangu....
 
Kuna wengine huwa wanaomba hvyo vihela ili uharakishe mchakato wa kula mbususu,anakuona uko slow kwenye huo mchakato
 
Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike

Mzee baba inaonekana huna elimu sana ya sanaa ya utongozaji...

Mwanamke ili afahamu kuwa upo interested naye, si lazima umtamkie maneno "nakupenda, nakuhitaji au nimevutiwa nawe"...

Hayo maneno niliyoyaweka kwa rangi nyekundu, yanatosha kabisa kumwaminisha mwanamke kwamba unataka kuwa naye...

Umemkaribisha ghetto - Jinsi alivyotafsiri mwanamke ni kuwa unahitaji faragha naye na ghetto ni eneo salama.

Umemkaribisha kupika - Jinsi alivyotafsiri ni kwamba upo single, maana hakuna akupikiaye ila wewe.

Kwa nini kakuomba kitu cha ten, kama hana tabia za udangaji maana yake anataka kujua kama unajali na hauna mkono birika...

Ni uamuzi wako sasa kusuka au kunyoa maana wewe ndiye uliyemchokoza mwanzo kabisa...
 
Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita miezi, hadi siku moja niko ghetto nasikia geti linafunguliwa, kuchungulia dirishani, naona huyo mdada anachungulia ndani ya geti, Akaingia ndani ya fensi kidogo halfu akarudi, nlivokutana nae nlijifanya sikumuona, nikamwambia nasikia Kwa majirani kuwa ulintafuta, alikiri kuwa alinitafuta, nlimpanga aje ghetto kesho kutwa asubuhi, alisema atakuja lakini hakuja, mimi nikamkaushia..sikumtafuta.

KINACHONISHANGAZA:
Kinachonashangaza ni kuwa tangu nimefahamiana nae, kila sms alionitumia ingawa ni chache, mm sijawahi kumjibu, sijawahi anza mimi kum-text hata mara moja, Mimi Sijawahi mpigia simu hata mara moja, alinipigia simu nikapokea, akaniambia ameni-miss, mm nikampanga tu aje ghetto Weekend, akakubali, nikajua napendwa, heeee saa ngapi asiniombe elfu 10, shida sio yeye kuniomba hela, au sio kwamba sina elfu 10 ya kumpa, Na sio kwamba sina nia ya kumpa hela, ila ni jinsi alivoiomba, inanipa red flag, mm nimemkaushia, simu zake sitapokea tena, na nitaendelea kutojibu sms zake, na mazoea naye Nakata, nikikutana naye ntampa salamu tu, ikumbukwe tangu nimemfahamu sijawahi kumng'ang'ania wala kumsumbua sumbua kumtongoza, useme ananipiga kizinga ili anifukuze.

Nilidhani nimepata mdada anaenipenda kumbe nlijidanganya, loh
Yeye yuko early 20's wewe je?
Ninaweza kupata la kuchangia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom