Hii si sawa, wabunge hawa wachunguzwe rasmi

Baada ya kushindwa kiwashawishi waunge mkono hoja mmeamua kuja kwa style chafu ya kuwadhalilisha Waheshimiwa Wabunge. Mmeishiwa ushawishi kwetu sisi wananchi sasa wale wanaokubalika mmeshikwa na wivu. Hata muwachafue vp bado tulio wengi tunawakubali Waheshimiwa hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hili mtoa mada ana hoja huo urafiki wa wawili hawa ni wa mume na mke. Mimi nimewahi kuwashuhudia siku moja kwenye mgahawa. Halima kaagiza supu, then kabla hajaanza kunywa, Bulaya akaonja kwa tahadhari kabla ya Halima hajapokea kama mke amhudumiavyo mumewe. Aliporidhika ndipo akampa.

Kwa kila hali hawa ni lesbians, na anayefanya kazi ya mwanaume ni Halima. Na mwenye majukumu ya mwanamke ni Bulaya. Kama mtu anataka ukweli especially kwa wanaume jaribu kumtongoza Bulaya mbele ya Halima ndipo utaona muziki wake.
 
Hahaha UACHWA NA MMOJA WAO NINI?!
JISAGE au UOLEWE sasa kama unaona umechoka kujisaga, CHAPUTA hawatakusikiliza utaendelea kulia tu.

Njoo huku mkoani kama wanaume wa Dar hawakutaki.
 
Mwaka 2011 Julai 27, lilitoka gazeti la kila wiki la ijumaa wikienda likiwa na shutuma ya mbunge wa chadema kawe na wakati huo mbunge wa CCM viti maalumu Bunda kuwa WANASAGANA

katika gazeti hilo wabunge kadhaa walihojiwa na kukiri kuwa tetesi hizi wamezisikia pia ndani na nje ya Bunge. wahusika walikana kuwa na mahusiano

Miaka tisa (9) sasa imepita tangu swala hili kuibuka, Ingawa walikana kwa wakati huo lakini ushahidi wa kimazingiira unatia shaka sana kuhusu mahusiano ya dadazetu/wadogo zetu hawa wawili

uhusiano wao siku hizi umekuwa zaidi ya urafiki wa kawaida katika jamii

  • kwanza Bulaya akahama chama kumfuata rafiki yake chadema (rafiki wa kweli)
  • sikuizi kila anapoenda bulaya halima yupo, kila anapoenda halima bulaya yupo, wanapendana kweli kweli na ratiba zao zinafanana exactly
  • halima akiugua esther analala hospitali , esther akipeleka mwanae shule Halima anamsindikiza hadi huko iliko shule
  • esther akienda Bunda halima anaambatana naye, hadi Bunda
  • halima akienda kutibiwa south africa esther nae anaenda south africa kumsindikiza na kumuuguza (matukio haya yote nimeyatoa katika account zao za social media)
KIMSINGI huu urafiki ni zaidi ya special

najua kuna watu watahoji na kusema kuwa ni maisha yao binafsi, lakini ni lazima kutambua kuwa mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai nchini Tanzania na kama mwananchi mpenda sheria , naomba watu hawa wachunguzwe

Huu Urafiki umepitiliza, ukimtongoza mmoja anakusemea kwa mwenzie ...................

Kwani ni kosa watu kuwa marafiki?
 
Mabeberu wanamapandikizi kila sehemu kutetea hoja tata kama ushoga na usagaji! Sishangai!
 
Huna la maana la kufanya? Umbea hauna posho!
 
Kuna wadada nawajua. Tangu watoto to-date Wana 57 ni Marafiki Hadi kulala chumba kimoja. Hawajawahi kuhisiwa Kusagana Kwa jinsi walivyoshibana. Wote waliolewa wakaacha ndoa na Wana watoto na Wajukuu. Familia zao wanawaona kama ndugu
 
Hii nchi tuna matatizo mengi yanayotugusa moja kwa moja
Acha kuguswa na maisha ya watu ambayo kwa maelezo yako seems n wivu tu
Acha kufatilia maisha private ya watu
 
Kuna sheria inayokataza urafiki?
Anasema "kuna ushahidi wa kimazingira."
Kwa hawa waliolewa madaraka wanaona inatosha kabisa kuwahukumu watu kwa ushahidi huo.

Hii tayari ni kampeni ya uchaguzi ndio hivyo shaanza.

Halima na Esther wajiandae tu kusafisha matope haya.
 
Mwaka 2011 Julai 27, lilitoka gazeti la kila wiki la ijumaa wikienda likiwa na shutuma ya mbunge wa chadema kawe na wakati huo mbunge wa CCM viti maalumu Bunda kuwa WANASAGANA

katika gazeti hilo wabunge kadhaa walihojiwa na kukiri kuwa tetesi hizi wamezisikia pia ndani na nje ya Bunge. wahusika walikana kuwa na mahusiano

Miaka tisa (9) sasa imepita tangu swala hili kuibuka, Ingawa walikana kwa wakati huo lakini ushahidi wa kimazingiira unatia shaka sana kuhusu mahusiano ya dadazetu/wadogo zetu hawa wawili

uhusiano wao siku hizi umekuwa zaidi ya urafiki wa kawaida katika jamii

  • kwanza Bulaya akahama chama kumfuata rafiki yake chadema (rafiki wa kweli)
  • sikuizi kila anapoenda bulaya halima yupo, kila anapoenda halima bulaya yupo, wanapendana kweli kweli na ratiba zao zinafanana exactly
  • halima akiugua esther analala hospitali , esther akipeleka mwanae shule Halima anamsindikiza hadi huko iliko shule
  • esther akienda Bunda halima anaambatana naye, hadi Bunda
  • halima akienda kutibiwa south africa esther nae anaenda south africa kumsindikiza na kumuuguza (matukio haya yote nimeyatoa katika account zao za social media)
KIMSINGI huu urafiki ni zaidi ya special

najua kuna watu watahoji na kusema kuwa ni maisha yao binafsi, lakini ni lazima kutambua kuwa mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai nchini Tanzania na kama mwananchi mpenda sheria , naomba watu hawa wachunguzwe

Huu Urafiki umepitiliza, ukimtongoza mmoja anakusemea kwa mwenzie ...................
Mkuu sijajua elimu au umri wako. Tafadhali, hangaika na maisha yako, si vyema kuhangaika na kuchafua maisha ya wenzako. Mungu anaweza kukupiga laana mbaya
 
Back
Top Bottom