Hii si sawa, wabunge hawa wachunguzwe rasmi

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,843
1,841
Mwaka 2011 Julai 27, lilitoka gazeti la kila wiki la ijumaa wikienda likiwa na shutuma ya mbunge wa chadema kawe na wakati huo mbunge wa CCM viti maalumu Bunda kuwa WANASAGANA

katika gazeti hilo wabunge kadhaa walihojiwa na kukiri kuwa tetesi hizi wamezisikia pia ndani na nje ya Bunge. wahusika walikana kuwa na mahusiano

Miaka tisa (9) sasa imepita tangu swala hili kuibuka, Ingawa walikana kwa wakati huo lakini ushahidi wa kimazingiira unatia shaka sana kuhusu mahusiano ya dadazetu/wadogo zetu hawa wawili

uhusiano wao siku hizi umekuwa zaidi ya urafiki wa kawaida katika jamii

  • kwanza Bulaya akahama chama kumfuata rafiki yake chadema (rafiki wa kweli)
  • sikuizi kila anapoenda bulaya halima yupo, kila anapoenda halima bulaya yupo, wanapendana kweli kweli na ratiba zao zinafanana exactly
  • halima akiugua esther analala hospitali , esther akipeleka mwanae shule Halima anamsindikiza hadi huko iliko shule
  • esther akienda Bunda halima anaambatana naye, hadi Bunda
  • halima akienda kutibiwa south africa esther nae anaenda south africa kumsindikiza na kumuuguza (matukio haya yote nimeyatoa katika account zao za social media)
KIMSINGI huu urafiki ni zaidi ya special

najua kuna watu watahoji na kusema kuwa ni maisha yao binafsi, lakini ni lazima kutambua kuwa mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai nchini Tanzania na kama mwananchi mpenda sheria , naomba watu hawa wachunguzwe

Huu Urafiki umepitiliza, ukimtongoza mmoja anakusemea kwa mwenzie ...................
 
Hii mada ni ya kwenye kurasa za magazeti ya udaku.

Hii ni mipasho ya mtaani haina tija kwa mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa mwisho wala haina tija kwa binamu zangu wanaoishi kule Mumiramira Bushubi.
 
Kama kuna mtu anatoa vibali vya kuingiza hivyo vitu vyenye ncha kali hadi wanaume wanaonekana hawana maana, anaharibu sana
 
Mwaka 2011 Julai 27, lilitoka gazeti la kila wiki la ijumaa wikienda likiwa na shutuma ya mbunge wa chadema kawe na wakati huo mbunge wa CCM viti maalumu Bunda kuwa WANASAGANA

katika gazeti hilo wabunge kadhaa walihojiwa na kukiri kuwa tetesi hizi wamezisikia pia ndani na nje ya Bunge. wahusika walikana kuwa na mahusiano

Miaka tisa (9) sasa imepita tangu swala hili kuibuka, Ingawa walikana kwa wakati huo lakini ushahidi wa kimazingiira unatia shaka sana kuhusu mahusiano ya dadazetu/wadogo zetu hawa wawili

uhusiano wao siku hizi umekuwa zaidi ya urafiki wa kawaida katika jamii

  • kwanza Bulaya akahama chama kumfuata rafiki yake chadema (rafiki wa kweli)
  • sikuizi kila anapoenda bulaya halima yupo, kila anapoenda halima bulaya yupo, wanapendana kweli kweli na ratiba zao zinafanana exactly
  • halima akiugua esther analala hospitali , esther akipeleka mwanae shule Halima anamsindikiza hadi huko iliko shule
  • esther akienda Bunda halima anaambatana naye, hadi Bunda
  • halima akienda kutibiwa south africa esther nae anaenda south africa kumsindikiza na kumuuguza (matukio haya yote nimeyatoa katika account zao za social media)
KIMSINGI huu urafiki ni zaidi ya special

najua kuna watu watahoji na kusema kuwa ni maisha yao binafsi, lakini ni lazima kutambua kuwa mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai nchini Tanzania na kama mwananchi mpenda sheria , naomba watu hawa wachunguzwe

Huu Urafiki umepitiliza, ukimtongoza mmoja anakusemea kwa mwenzie ...................
Wewe ni lofa wa kiwango cha lami, ndio nyie mnaegemewa kuendesha viwonder vya meko ??.
 
Back
Top Bottom