hawa ccm wamesababisha watu wafikie kusema heri wangezaliwa Paka Ulaya kuliko kuzaliwa watu hapa Tz
hawa ccm wamesababisha watu wafikie kusema heri wangezaliwa Paka Ulaya kuliko kuzaliwa watu hapa Tz
Huyo ni muathirika. Na hiyohiyo serikali inayoendeshwa na CCM ndio inayompatia ARV za bure!
bangi bwana!
ndugu ulivozipangilia kama mwendelezo wa hadithi. ccm oyeee... watu kimyaaaa.. peoplezzzz....watu powerrrrrrrr......Ndugu yangu hapa nimeachwa hoi kwa kicheko.
Huyu aliyefikiria kuweka bango hili alitumia akili sana na busara,
Kwani CCM yenyewe ni ugonjwa usio na tiba, KIKWETE amejitahidi kutafuta tiba ameshindwa na sasa inakufa mikononi mwake.
View attachment 54941
View attachment 54942
View attachment 54943
View attachment 54944
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
Kumbe unaelewa zile safari za Kikwete za Merekani zinazaa matunda.
Huyo ni muathirika. Na hiyohiyo serikali inayoendeshwa na CCM ndio inayompatia ARV za bure!
Sio Serikali ya CCM inayotoa ARVs bure, wao wanapewa msaada waugawe tu kwa wananchi.
Plus hata Serikali ingetoa hizo dawa, ijulikane kuwa sio favour ni wajibu wao kulinda afya ya walipa kodi wake.
Ni kama Baba ako aanze kukwambia nisifie kwa kukupeleka Primary School.
Chaliangu Kajipime Tena ndio urudi na pang'ang'a zako hapa
watu washachoka. Halafu tusitake kutishana. Huyu mbona ana VVU huu mwaka wa 20 na hajafa wala nini na anazidi kuwa milionea
Magamba wanachosha
watu wamejichookea
Huyo ni muathirika. Na hiyohiyo serikali inayoendeshwa na CCM ndio inayompatia ARV za bure!