Hii Picha inatupeleka wapi? Una maoni gani juu ya picha hiyo?

Ukiwa na vvu utakufa mwenyewe ila ccm inauwa urithi wa vizazi vyetu.mwisho wa siku watoto na wajukuu zetu wataingia utumwani tena.
 
Kila mtu ana uhuru wa kueleza hisia zake atakavyo, watu wamechoka na huu uongozi wa GAMBAZ PART so sioni tatizo maana umaskini huu uliokithiri kila kona ya nchi hii ndio unamfanya kila mtu ajitafakari atakavyo.
 
View attachment 54910

Hizi ni hasira au? Hata kama unachuki na CCM ndio ufanye hivi?

Toa maoni.

Ndugu yangu hapa nimeachwa hoi kwa kicheko.

Huyu aliyefikiria kuweka bango hili alitumia akili sana na busara,

Kwani CCM yenyewe ni ugonjwa usio na tiba, KIKWETE amejitahidi kutafuta tiba ameshindwa na sasa inakufa mikononi mwake.

J. K..jpg

View attachment 54942

pinda-bungeni-mawazo.jpg

View attachment 54944

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Huyo ni muathirika. Na hiyohiyo serikali inayoendeshwa na CCM ndio inayompatia ARV za bure!

Pamoja na kwamba sio lengo la mada lakini nikujulisha kuwa serikali ya Tanzania haichngii hata senti moja kwenye hizo ARV'S ulizo sema. ni 100% wafadhili na walitaka kujitoa mwaka huu serikali ikaomba bado hatuna hela
 
Ndugu yangu hapa nimeachwa hoi kwa kicheko.

Huyu aliyefikiria kuweka bango hili alitumia akili sana na busara,

Kwani CCM yenyewe ni ugonjwa usio na tiba, KIKWETE amejitahidi kutafuta tiba ameshindwa na sasa inakufa mikononi mwake.

View attachment 54941

View attachment 54942

View attachment 54943

View attachment 54944

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
ndugu ulivozipangilia kama mwendelezo wa hadithi. ccm oyeee... watu kimyaaaa.. peoplezzzz....watu powerrrrrrrr......
 
Huyo ni muathirika. Na hiyohiyo serikali inayoendeshwa na CCM ndio inayompatia ARV za bure!

Sio Serikali ya CCM inayotoa ARVs bure, wao wanapewa msaada waugawe tu kwa wananchi.

Plus hata Serikali ingetoa hizo dawa, ijulikane kuwa sio favour ni wajibu wao kulinda afya ya walipa kodi wake.
Ni kama Baba ako aanze kukwambia nisifie kwa kukupeleka Primary School.

Chaliangu Kajipime Tena ndio urudi na pang'ang'a zako hapa
 
Ikiwa hata viongoozi wanachakachuwa wake za watu na kuzaa nao, unataka UKIMWI wasikae nao kwanini?
 
Huyo ni muathirika. Na hiyohiyo serikali inayoendeshwa na CCM ndio inayompatia ARV za bure!

hamna ARV za bure ni kodi yake,VAT(Value Added Tax)kila bidhaa voucher za air time,hata muda wa surfing ,nitakusihi urethink hii kauli yako
 
Back
Top Bottom