mgonjwa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 514
- 223
Mimi sipo kabisa katika hizi team mavi, mavi za hapa mjini mara team kiba mara team diamond, mara team sijui ushuzi !! Bali mi ninapenda mziki mzuri wa aina yoyote na uimbwe na team yoyote, twende kwenye point huu wimbo wa Diamond
"Nasema Nawe" ni mzuri sana tatizo ni hii video hawa mashangingi ya Magomeni na Tandale yanavyofanya mule ndani.
Kama BASATA waliifungia video ya Bata ya Offside Trick pia naomba waifungie na hii pia maana haina tofauti kabisa na ile.
Nawasilisha.