Hii ni SIPIYU.....Msijali.......!!!

Huyu mwalimu(sina hakika kama ni mwalimu kweli) katika tangazo hili sijui ni la HakiElimu ananifurahisha sana kwa jinsi anavyofikisha ujumbe wake kwa hadhira. Ni zaidi ya macomedians kama akina Masanja na wenzake. Matangazo anayohusika nayo yanabeba ujumbe unaosikitisha lakini kwa jinsi anavyoufikisha ujumbe badala ya kusikitisha, yeye anachekesha...!!
1) Can somebody..........which...eeeh.....eeeh.....what globally warming is...............English please....
2) Hii ni sipiyu........ndio nini hicho....kipo kama video.........msijali...

ananiacha hoi sana, anaanza kuwafundisha watoto kuzima kompyuta kabla hajawafundisha kuiwasha
 
Huyu anaitwa Mwalimu English Please!!! Ni MC mashuhuri sana hapa jijini Dar, anaitwa MC Kim. Ukitaka kucheka tena, ebu basi fuata hii link na utamsikiliza mwalimu huyu akiwa kazini. Hapa chini nimekupatia link, double click hiyo link, then double click TV spots halafu double click TEHAMA, and enjoy!!!

HakiElimu - Media Gallery

Haaa haaa!mama mdogo asante sana yani nime enjoy mwalimu anafundisha kuzima kabla hajawafundisha kuwasha lol!sijui iliwakaje bila kuwashwa!
 
Niko mikoani huku Kibondo kikazi, nikirudi Dar nitawa contact wadau halafu nitakutumia namba yake, subira yavuta heri. Ukiona nimesahau naomba unitumie PM. Anaitwa MC Kim.

Lol, ahsante sana kwa kweli, nitashukuru na lazima nimtafute kwa gharama zozote huyu jamaa.....sura yake tu yenyewe inatosha

BTW: Kazi njema huko kunakochelewa kutoka na kuzama jua.....huku kwetu tumeshafika tarehe 12/11 sina uhakika kama huko tayari, vipi magazeti ya jana umeyasoma lakini? au ndo yanafika keshokutwa? Just kidding
 
Haaa haaa!mama mdogo asante sana yani nime enjoy mwalimu anafundisha kuzima kabla hajawafundisha kuwasha lol!sijui iliwakaje bila kuwashwa!

Si umelishuhudia darasa halina umeme, hakuna hata hiyo komputa, kila kitu kufikirika, kaichora hiyo komputa (Sipiyu na sreen) ubaoni kwa chaki. Kwa ujumla huyu mwalimu ni mbunifu kwani kaichora vizuri tu, labda alikuwa ndiyo katoika semina ya jinsi ya kufundisha tekinohama!! Na hawa wanafunzi nao wanaonekana wana akili pevu, kwani wanadadisi kitu ambacho hawajawahi kukiona.Tumethubutu, Tumeweza na Tunazidi Kusonga mbele!!!

Z
 
Hili la kuzima computer halafu yote ikabadilika rangi na kuwa bluu balaa kweli. Imekuwa kinyonga tena!
 
Huyu mwalimu(sina hakika kama ni mwalimu kweli) katika tangazo hili sijui ni la HakiElimu ananifurahisha sana kwa jinsi anavyofikisha ujumbe wake kwa hadhira. Ni zaidi ya macomedians kama akina Masanja na wenzake. Matangazo anayohusika nayo yanabeba ujumbe unaosikitisha lakini kwa jinsi anavyoufikisha ujumbe badala ya kusikitisha, yeye anachekesha...!!
1) Can somebody..........which...eeeh.....eeeh.....what globally warming is...............English please....
2) Hii ni sipiyu........ndio nini hicho....kipo kama video.........msijali...

Jamaa alikuwa kikazi zaidi
 
Lol, ahsante sana kwa kweli, nitashukuru na lazima nimtafute kwa gharama zozote huyu jamaa.....sura yake tu yenyewe inatosha

BTW: Kazi njema huko kunakochelewa kutoka na kuzama jua.....huku kwetu tumeshafika tarehe 12/11 sina uhakika kama huko tayari, vipi magazeti ya jana umeyasoma lakini? au ndo yanafika keshokutwa? Just kidding

Huku muda huu saa sita na dakika 5, lakini halisia ni saa tano na dakika 5 (saa za central africa). Magazeti yaliyoko hapo stand ni ya jumatano, hapa niko busy nasoma Mwanahalisi ya ya jumatano tarehe 9, makubwa!! Kweli Kigoma mwoisho wa reli.Kusingekuwa na mapigano huko Kongo kesho ningevuka ziwa niende huko Lubumbashi kununua vitende na CD za mziki wa kilingala, ila naogopa, wanangu bado wananihitaji!!!!
 
Kuna tangazo moja kawekwa mzee Chilo kama mwalimu, lingekuwa tamu zaidi angewekwa huyu jamaa!
 
Back
Top Bottom