Hii ni orodha ya fursa na miradi unayoweza kuifanya na kukupatia kipato

Taya

Member
Jan 13, 2016
8
22
money.jpg

1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali. 5. Kuanzisha kituo cha redio na televisheni 6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano. 7. Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k 8. Kushona na kuuza nguo. 9. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali, 10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine. 11. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo. 12. Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu. 13. Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza. 14. Kusajili namba za simu na kuuza vocha 15. Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafuta na zinazotumia mafuta 16. ** Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana na hali ya hewa ya sehemu husika. 17. Kuuza Mitumba 18. Kusimamia miradi mbalimbali 19. Kufungua duka la kuuza mitambo mbalimbali 20. Kufungua banda la chakula na chips 21. Kukodisha turubai viti na meza 22. Kufungua Supermarket 23. Kufungua Saluni 24. Kufungua Bucha 25. Video Shooting & Editing. 26. Kufungua Internet cafe 27. Duka la kuuza matunda 28. Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za mkononi na landline. 29. Kufungua duka la vifaa vya ujenzi; cement, vifaa vya umeme, duka la mabati 30. Kutengeneza michoro mbalimbali ya majumba na miradi ya ICT 31. Kuchapa vitabu, bronchures, n.k 32. Kuanzisha kampuni ya ujenzi (Building contractor) 33. Kuuza Vifaa vya umeme wa nishati ya jua (solar) ,battery, inverter na vifaa vingine vya solar n.k 34. Kuuza maji kwa jumla na rejaleja. 35. Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora. 36. Kukodisha Music 37. Kuanzisha Mradi wa Taxi 38. Kuanzisha mradi wa Daladala 39. Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops, converters, HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaa vingine. 40. Kununua magenerator na kukodisha 41. Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu 42. Kufungua kampuni ya kutoa huduma za internet (ISP) 43. Kuuza mabati na vigae 44. Kujenga apartments 45. ** Kufungua Kisima cha mafuta ya taa au mafuta ya aina zote 46. Kufungua Duka la samaki47. Kufungua Duka la nafaka 48. Kufungua Shule za Awali, Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo. 49. Kujenga hostel 50. Kuuza vocha na ving’amuzi vya DStv, Zuku, Startimes, Easy TV, TNG, Digitech, Continental. 51. Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme na kuuza katika viwanda na wananchi. 52. Ufundi simu 53. Kufungua Hospitali, Zahanati. 54. Maabara ya Macho, Meno 55. Kuchimba/Kuuza Madini 56. Kufungua ofisi ya kutoa huduma ya simu na fax 57. Kuuza miti na mbao 58. Kufungua Grocery, bar 59. Kufungua studio ya kupiga na kusafisha picha 60. Kucharge simu/battery 61. Duka la TV na vifaa vingine 62. Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katika sherehe na tamasha mbalimbali (catering).63. Banda la kupigisha simu 64. Kuuza na kushona Uniform za shule65. Kuanzisha duka la kuuza vitu kwa jumla. 66. Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki na magari 67. Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe 68. Kuuza fanicha 69. Kufungua sehemu ya kuziba pancha za matairi ya magari na mitambo. 70. Kujenga nyumba za kulala wageni (hotel) 71. Kuagiza na kuuza vifaa vya aluminium. 72. Kuuza vioo 73. Kushona na kukodisha nguo za harusi 74. Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari 75. Kuuza mashine za kuchomelea (welding machine). 76. Kuuza vifaa vya kuvaa Site (boots, helmets etc) 77. Kununua mabasi kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi 78. Kufungua studio ya kutengeneza vipindi vya redio na televisheni 79. Kuanzisha ofisi ya michezo ya televisheni (TV Games) 80. Kufungua benki 81. Kuwa na malori ya kubeba kokoto na mchanga 82. Kuuza vifaa mfano TV, CCTV Camera, n.k 83. Kuwa dalali wa vitu mbalimbali 84. Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift na winchi (crane) 85. Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu. 86. ** Kuanzisha viwanda mbalimbali 87. Duka la vifaa vya simu na gadgets mbalimbali zinazoendana na mawasiliano ya Vodacom, TTCL, AIRTEL, TIGO, ZANTEL, n.k. 88. Kujenga Ukumbi wa kukodisha kwa sherehe, mikutano mbalimbali 89. Kununua matrekta, mitambo ya ujenzi wa barabara na kukodisha 90. Kutengeneza antenna na kuuza 91. Kufungua mradi wa Machine za kusafisha, kutoboa na kuchana mbao 92. Kufungua mradi wa kuuza vifaa vya Umeme wa kutumia upepo 93. Biashara ya kuagiza magari94. Kufanya biashara za Jukebox 95. ** Kukodisha matenki ya maji**96. Kufungua duka la kuuza Asali 97. Kutengeneza Mikokoteni/ matoroli na kuikodisha 98. Kufungua Duka la vinyago, batiki 99. Kuanzisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZY PESA100. Kuanzisha sehemu ya kufanyia mazoezi (Gym). 101. Kununua na kuuza vifaa vya kupima ardhi. 102. Kufungua duka la kuuza dawa (pharmacy). 103. Kufungua Kampuni ya Ulinzi 104. Kufungua kampuni ya "Clearing and fowarding" 105. Kuchezesha vikaragosi106. Kuuza spea za bajaji, magari na pikipiki 107. Kuuza baiskeli108. Kuuza magodoro 109. Kuuza vyombo mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya nyumbani mfano bakuli, sahani, vikombe, vijiko, 110. Kuuza marumaru (limestones) 111. Kuuza kokoto 112. Kuuza mchanga 113. Kufundisha Tuisheni 114. Biashara za bima 115. Kampuni ya kusafirisha abiria kwa njia ya anga (ndege) 116. Biashara za kitalii 117. Biashara za meli na maboti. 118. Kampuni ya kuchimba visima 119. Kufungua ofisi ya wakili/mawakili wa kujitegemea 120. Kuuza mkaa 121. Kutengeneza mashine za kutengeneza tofali 122. Kampuni ya kupima ardhi 123. Kampuni ya magazeti 124. Kuchapa (printing) magazeti 125. Kuuza magazeti126. Kuchimba mafuta 127. Kiwanda cha kutengeneza mabati 128. Kiwanda cha kutengeneza fanicha 129. Kiwanda cha kutengeneza matairi 130. Kutengeneza vitanda vya chuma 131. Kununua nyumba katika Maghorofa (Apartments) na kuzikodisha. 132. Kukodisha makapeti 133. Kupamba maharusi na kumbi za harusi/sherehe. 134. Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka. 135. Kazi ya ususi na kusafisha kucha. 136. Kuuza Gypsum 137. Malori ya kubeba mafuta na Mizigo 138. Duka la kuuza mboga za majani 139. Duka la kuuza maua. 140. Kampuni ya kuzoa takataka 141. Kampuni ya kuuza magari 142. Kuuza viwanja 143. Uvuvi 144. Kutengeneza na kuuza nguzo za kujengea fensi 145. Uchoraji wa mabango. 146. Duka la kuuza silaha 147. Ukumbi wa kuonesha mpira 148. Biashara ya mlm (network marketing) 149. Yadi kwa ajili ya kupaki magari 150. Mradi wa trekta za kukodisha kwa ajili ya kilimo, NK..
 
uko poa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom