Hii ni nyumba ya wachawi ninayoishi. Wachawi wanapika chakula changu

Heci

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
3,485
5,819
Niko Mwananyamala A hapa, pa kigagula mmoja aitwa Bi Mandela (hili ni jina kificho, sio halisi) . Jamani najuta kuishi katika nyumba hii..

Kuna vimbwanga vingi vinatendeka, wakati mwingine waamka alfajiri nyumba nzima imetapakaa kinyesi, ñya mbichi kabisa.

Leo nimeenda sokoni, nimenunua bata wangu, wameniandalia huko, hadi kumkata kata.

Nimekuja naye home, nikampiga viungo, paprika, oregano, tangawizi, garlics, hajinamoto, honey, na mazaga mengine kama yote. Nikatia kwenye friji ili akae kwa muda wa saa moja na nusu viungo vikolee.

Huko nje nasikia mapishi yananukia, nikajiuliza kinapikwa nini? Machale yakanituma niende kwenye friji, ile nimezama ndani ya friji nakuta kontena niliyowekea mzigo nyeupeeeeeeeeeeee kama theluji.

Nimekubali matokeo.

NB:-
Bibi Mandela is just a code name , nimempa mimi kutokana na sababu zangu binafsi, hamna aliyekuwa offended hapa.
 
22.jpg
 
Tafuta nyumba nyingine uhamie huko, hata kama unapanga bure hama tu.

Back
Top Bottom