Hii ni kweli si utani.......,kwa wanaume !

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,705
1,288
Hii ilitokea kabla ya kuenea kwa gonjwa la ukimwi!

Nilikuta mabishano ya vijana wakisema kuwa kwa mwanamume ni aheri ya ugonjwa wowote ule kuliko jogoo kushindwa kupanda mtungi.

Eti nini msimamo wenu wanajamii?
 
Hivi Ngekewa ww msimamo wako hapa ni upi? hivi unajua raha ya ngono na imagination

ya kutoipata milele? sasa kama hauna kifanyio starehe yako na stress reliever ni ipi?
 
Last edited by a moderator:
Hivi Ngekewa ww msimamo wako hapa ni upi? hivi unajua raha ya ngono na imagination

ya kutoipata milele? sasa kama hauna kifanyio starehe yako na stress reliever ni ipi?

Nikiangalia jinsi watu wanavyoumbuka pengine inawezekane ikawa ni blessing in disguise kutoweza kupanda mtungi.
 
Wanawake wanataka kitu tofauti sana kutoka kwa wanaume!
 
Mimi mwenyewe niko maneromango shule ya msingi darasa la MEMKWA (Mpango wa elimu kwa walioikosa)

Hahahahaha kumbe nimekuzidi madarasa eeh?.....basi mie nilimaliza hapo hapo miaka miwili iliyopita.....ntakufichia past paper eeh.....kazana kusoma manake nchi ishauzwa!
 
Asante kwa ushauri dada! nitasoma sana ingawa inglish na hisabati zinanigonga
 
Hii ilitokea kabla ya kuenea kwa gonjwa la ukimwi!

Nilikuta mabishano ya vijana wakisema kuwa kwa mwanamume ni aheri ya ugonjwa wowote ule kuliko jogoo kushindwa kupanda mtungi.

Eti nini msimamo wenu wanajamii?

Si kweli!Ukichaa je? Bora nisisimamishe kuliko kuugua UKICHAA, nk.
 
Back
Top Bottom