Hii ni kweli si utani.......,kwa wanaume !

Sawa dada nitakuja na vyote ikiwa ni pamoja na nailoni ya kuzuia bakteria

Hahahaha......nailoni hapana platozoom .....wewe mwanafunzi ntaacha kukufundisha ati khaaa......aliyekwambia nakuja kukufundisha biology ni nani?......umesema english na hisabati zinakupa taabu sasa hapo nailoni lahusikaje????.....umeanza kumkera mwalimu eeh!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha......nailoni hapana platozoom .....wewe mwanafunzi ntaacha kukufundisha ati khaaa......aliyekwambia nakuja kukufundisha biology ni nani?......umesema english na hisabati zinakupa taabu sasa hapo nailoni lahusikaje????.....umeanza kumkera mwalimu eeh!

Niliambiwa kwenye hisabati ukianza na namba ya cha kwanza lazima uvae nailoni ili kuzuia bakteria wa umbo duara na mshazari!
 
Wewe mwanafunzi mtukutu sana lol.....nimeghairi walah tena......unaonekana hesabu unazielewa vema!
 
Back
Top Bottom