Hii ni kwa wasichana 2.

B.O.G

Senior Member
Feb 17, 2011
144
40
Dada zangu habari zenu , sasa mmi ni kija wa miaka 25. ila sasa sina mchumba wa kueleweka maana kila ambaye ni xrafiki yangu sasa labda nataka nimsogeze karibu zaidi nagundua kuwa mimi kwake ni kama spear tairi tu.basi namie najua soma nyakati hivyo najiweka pembeni ilikuepusha msongamano. ila pia sitaki kujitetea sana maana kwa upande mwingine ni kwamba mie ni rijali lakini mambo ya wasichana wasichana sio fani yangu sana maana hata sijui kutoa swagga. wenzetu wanasema wht u c 4rm me is wht u get 4rm me.

Maisha yangu kwakifupi hayana matatizo , ila isipo kuwa nafikiria kuwa ningekuwa mbali ama nitakuwa mbali kama nikipata msichana ambaye hata ni ground na kuni balance Emotional, physically & mentally.

kama we ni msichana wa kuanzia miaka 18 mpaka 25 nakuomba tuwasiliane kupitia 0612929491.
Tukikutana nitakupeleka Tukalowe samaki bahari kigamboni . maana nimoja ya vitu huwa napenda kufanya nikiwa napooteza mawazo..

DU USIKU MWEMA USINGIzi UNANICHUKUA HATA NIMEKOSA NA CHAKUENDELEZA.
 
Usiseme unaandika hii huku unaota. :) Ndugu yangu lazima ujifunze miujanja na yakumpata demu, itakuwa tatizo wanakuweka spare tyre maana unawaboa, love is not what you see is what you get. You need to change....be gentle a bit!
 
adame x your very right, eebwana gangamala kumpata demu siyo mchezo, afterall 25 yrs bado kwa mvulana kujicommit give yourself space labda hadi 29 hivi utakuwa umekuwa kiakili kidogo na hutakuwa unaota kama ufanyavyo sas hivi
 
Nenda sunrise au mikadi jumamosi,paka wave,piga scrub,vaa hereni,piga supra,vaa skin jeans na single button kisha malizia na miwani ya guglez halfu utanipa jibu!!
 
ndugu yangu sikuhizi true love imekuwa ni theory tu,nakupenda nyingi zimeishia midomoni but mioyoni hamna kitu,so utapoteza mudawako bure.
 
Mwana wane Soon baada ya kutoa hili lipost kuna m2 alini sms kuwa naitwa fulani , amaeona advts yangu JF kisha anataka 2 chati .
basi akiniuliza naishi mitaa gani , nafanya nini. wonderfull ni kwamba hakuniuliza hata naitwa nani? badae nilipo kuwa na msms akawa hanijibu. kesho yake akanitumia sms kuwa alipitiwa na usinginzi. (sina uhakika kama nilikuwa na mboa ama vipi maana tokea mwanzo mie nsha sema sina swanga za uongo na ukweli , naongele maisha halisia ya jana leo na kesho).
inshort nili mweleza nafanya nini na napanga kufanya nini.
KItu kinacho nisikitisha ni kwamba nikim2mia sms huyu mtuu inachukua masasa nane ama 9 kunijibu. nikimpigia cm haipokelewi.
sasa najiuliza kwakuwa yeye ni mmoja wa wanawake wanao jishughulisha na kupambana na maisha kama wanaume sasa hana mudas wa kunijibu sms zangu . ama kwakuwa alinyambia kuwa huwa anasafiri safiri kwenda mikoni sasa amekwenda ule mkoa mpya wa bize amabpo network hazitoki. ama ametekwa sasa natakiwa nikamuokoe.
na mwazo mengine mwana wani yana nituma kuwa laba huyu mtu ni wajinsi ya kiume sasa anashindwa kupokea cm zangu maana ntajua sauti, kwa maana mie natafuta kujuana na msichana na sio Shoga.

Ila wooga wangu mwana wane uko pale amabapo ataamua ajisogeze karibu tuwe sawa halafu badae tena aanze kuuchuna kama hivi , ili nianze kuteseka kwa mawazo moyoni mwangu.

Kwa hiyo nakupomba wewe Lisa kama unania mbaya na mimi ushindwa na ulegee kwa jina la mungu wako.
 
Wewe iweshaweka habari yako kuwa ni domo zege...ilitakiwa alipokutuma sms, you should have called back sio mambo chitchat.
 
Kwa hiyo nakupomba wewe Lisa kama unania mbaya na mimi ushindwa na ulegee kwa jina la mungu wako.

Duuh hiyo ndio umeharibu kabisa, nenda kanisani bwana unaweza kumpata mwenza lakini hawa watoto wa mujini waachie wenyewe
 
Wewe iweshaweka habari yako kuwa ni domo zege...ilitakiwa alipokutuma sms, you should have called back sio mambo chitchat.
yup i called back , bt she nrver answerd or called back.
 
Back
Top Bottom