Hii ni kwa Maskini wenzangu......

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
kuna mengi yanatokea yakituumiza sana sisi wenye kipato cha chini....haya ni mfano tu ukiwa na yako ongezea pia
1.Twiga wanapanda ndege,Mtanzania wa kawaida anaangaishwa pata passport
2.viongozi wanajilipa vinono,mwananchi wa kawaida mlo mmoja tabu
3.wanachukua mashamba yetu bila fidia kwa kigezo cha uwekezaji...
4.wanatuUlimboka
5
6............
 
inauma sana,hao waliosimashwa wanamapesa mpaka wanaumwa,kwa hiyo wala sio issue sana kwao.wnamiliki majumba migari,bado wanaakiba ya kutosha benki.eti mtu kaajiliwa 2010 mshara wa serikali yetu,amnamijumba migari,mibiashara. a/c moja yake ambayo iko benki ya hapa tz inasoma 45M.HUYO HATA UKIMSIMAMISHA UTAKUWA UNAMWADHIBU AU UNAMPUMZUSHA???
 
Back
Top Bottom