Makonda kabla haujatoa kibanzi jichoni kwa mwenzio ni vyema ukatoa kibanzi jichoni mwako

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana mara tu baada ya kusikia na kusoma mitandaoni ziara ya mh katibu wa uenezi na itikadi wa chama cha makijani aliyepanga kufanya nchi nzima.

Sina hakika wananchi wataipokeaje ziara yake ila ningependa kumshauri ndugu yangu makonda kabla hajazunguka mikoa yote angeanzia kwanza kwenye chama chake na viongozi wake wa chama ambao ndio wameunda serikali.

Kuna mambo ya hovyo sana yanaendelea ndani ya serikali ya ccm, viongozi wengi waliopewa madaraka na serikali ya chama cha ccm hawawajibiki hali iliyopelekea wingi kubwa la watanzania kuwa maskini.

Sasa hv kuna sakata la umeme & maji karibu nchi mzima.

Umeme na maji ni moja ya vichocheo vikubwa sana vya uchumi, kutokuwepo kwa umeme na maji kunazorotesha sana shughuli za uzalishaji mali kwa wananchi hivyo inasababisha economic failure.

Na matatizo haya ya umeme na maji, serikali ya ccm wanalijua na wanajua kabisa kwamba kutokana na hili tatizo wale wooote wanaotegemea umeme na maji katika shughuli zao za kiuchumi wanalazwa na njaa lakin serikali ya ccm inashindwa kuwawajibisha wale waliowapa madaraka ambao ni wazir wa maji & wazir wa nishat kwa kuamin wanachofanya ni sahihi.

Sasa leo hii ndugu yangu makonda anaenda kwa wananchi hao hao wanaokufa njaa kwa kukosa umeme na maji, wananchi hao hao wanaosumbuliwa na mifumuko ya bei sijui utakwenda kuwaambia kitu gani ili wakuelewe.

Kwahiyo kama mtanzania mpenda maendeleo nakushaur tu kaka yangu makonda, kabla hata ya kuendelea na ziara yako, kaa na chama chako, mkae na viongozi wa chama chako ambao wameunda serikali jadilini kwa pamoja changamoto zinazolikabilk taifa kwa hv sasa ambazo kubwa ni umeme wa mgao na maji muangalie namna gan mnaweza kukabiliana nazo mkimaliza ndio mje sasa kwa wananchi kupiga ving'ora vyenu.

Msituambie kuwa mmeshindwa kuzitatua hizo changamoto sababu enzi za jiwe tulikuwa tumeshazivuka hizo changamoto sema utawala huu ndio umeturudisha kwenye mambo mengi ambayo tulisha yasahau.

Makonda: serikali ya chama chako imefanya watanzania wengi washindwe kumudu hata mlo mmoja pamoja na raslimari zoto tulizonazo.

Tafsir halis ya uongozi wenu ni bora uongoz na si uongozi bora.

Kwahiyo tunachotaka sisi wananchi serikali ya chama chako, viongozi wako watatue changamoto hasa zile zinazodororesha uchumi kama umeme na maji.

Tunataka muwawajibishe waziri wa nishati pamoja na waziri wa maji ndio uendelee na ziara zako

kwa tanzania nchi kukosa umeme na maji hata week nzima kwa sasa ni kitu cha kawaida sana

Chakuskitisha wakati hayo yanatokea Rais anajua na watendaji wajuu kabisa wa serikali wanayajua hayo lakin wapo kimya tu hata hawachukui hatua

Mbona hayo mambo enzi za magu hayakuwepo? Mama una fail wapi? Viongozi wa serikali ya ccm mna fail wapi jaman?

Sisi watu wa chini kabisa ambao hatujasoma hata darasa moja tunajua kabisa kwamba hizo changamoto zinafanya nchi isiende mbele sasa vipi kuhusu nyie wenye shule zenu mnaojiita majina ya ajabu ajabu ma prof & ma dkt au ndio zile shule za memkwa?

Hii nchi ukiifuatilia inatia hasira sana yaan kana kwamba hatuna kabisa viongoz kwa jins tu mambo yanavyokwenda

Viongoz woooote vilaza hakuna hata mwenye afadhal

Rai yangu makonda achana na hizo ziara yako sisi hatuna haja nayo , tunataka umeme na maji ya uhakika

Hitimisho;
Kuna haja ya kufanya jambo 2025
 
Sasa leo hii ndugu yangu makonda anaenda kwa wananchi hao hao wanaokufa njaa kwa kukosa umeme na maji, wananchi hao hao wanaosumbuliwa na mifumuko ya bei sijui utakwenda kuwaambia kitu gani ili wakuelewe
Cha kushangaza utakuta hao hao wananchi wanaokufa kwa njaa kwa kukosa umeme na maji ndio wamejazana kwenye mikutano huku wakishangilia kwa nguvu kila porojo na bla bla za viongozi.
 
Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana mara tu baada ya kusikia na kusoma mitandaoni ziara ya mh katibu wa uenezi na itikadi wa chama cha makijani aliyepanga kufanya nchi nzima

Sina hakika wananchi wataipokeaje ziara yake ila ningependa kumshauri ndugu yangu makonda kabla hajazunguka mikoa yote angeanzia kwanza kwenye chama chake na viongozi wake wa chama ambao ndio wameunda serikali

Kuna mambo ya hovyo sana yanaendelea ndani ya serikali ya ccm, viongozi wengi waliopewa madaraka na serikali ya chama cha ccm hawawajibiki hali iliyopelekea wingi kubwa la watanzania kuwa maskini

Sasa hv kuna sakata la umeme & maji karibu nchi mzima

Umeme na maji ni moja ya vichocheo vikubwa sana vya uchumi, kutokuwepo kwa umeme na maji kunazorotesha sana shughuli za uzalishaji mali kwa wananchi hivyo inasababisha economic failure.

Na matatizo haya ya umeme na maji, serikali ya ccm wanalijua na wanajua kabisa kwamba kutokana na hili tatizo wale wooote wanaotegemea umeme na maji katika shughuli zao za kiuchumi wanalazwa na njaa lakin serikali ya ccm inashindwa kuwawajibisha wale waliowapa madaraka ambao ni wazir wa maji & wazir wa nishat kwa kuamin wanachofanya ni sahihi

Sasa leo hii ndugu yangu makonda anaenda kwa wananchi hao hao wanaokufa njaa kwa kukosa umeme na maji, wananchi hao hao wanaosumbuliwa na mifumuko ya bei sijui utakwenda kuwaambia kitu gani ili wakuelewe

Kwahiyo kama mtanzania mpenda maendeleo nakushaur tu kaka yangu makonda, kabla hata ya kuendelea na ziara yako, kaa na chama chako, mkae na viongozi wa chama chako ambao wameunda serikali jadilini kwa pamoja changamoto zinazolikabilk taifa kwa hv sasa ambazo kubwa ni umeme wa mgao na maji muangalie namna gan mnaweza kukabiliana nazo mkimaliza ndio mje sasa kwa wananchi kupiga ving'ora vyenu.

Msituambie kuwa mmeshindwa kuzitatua hizo changamoto sababu enzi za jiwe tulikuwa tumeshazivuka hizo changamoto sema utawala huu ndio umeturudisha kwenye mambo mengi ambayo tulisha yasahau

Makonda: serikali ya chama chako imefanya watanzania wengi washindwe kumudu hata mlo mmoja pamoja na raslimari zoto tulizonazo

Tafsir halis ya uongozi wenu ni bora uongoz na si uongozi bora

Kwahiyo tunachotaka sisi wananchi serikali ya chama chako, viongozi wako watatue changamoto hasa zile zinazodororesha uchumi kama umeme na maji

Tunataka muwawajibishe waziri wa nishati pamoja na waziri wa maji ndio uendelee na ziara zako

kwa tanzania nchi kukosa umeme na maji hata week nzima kwa sasa ni kitu cha kawaida sana

Chakuskitisha wakati hayo yanatokea Rais anajua na watendaji wajuu kabisa wa serikali wanayajua hayo lakin wapo kimya tu hata hawachukui hatua

Mbona hayo mambo enzi za magu hayakuwepo? Mama una fail wapi? Viongozi wa serikali ya ccm mna fail wapi jaman?

Sisi watu wa chini kabisa ambao hatujasoma hata darasa moja tunajua kabisa kwamba hizo changamoto zinafanya nchi isiende mbele sasa vipi kuhusu nyie wenye shule zenu mnaojiita majina ya ajabu ajabu ma prof & ma dkt au ndio zile shule za memkwa?

Hii nchi ukiifuatilia inatia hasira sana yaan kana kwamba hatuna kabisa viongoz kwa jins tu mambo yanavyokwenda

Viongoz woooote vilaza hakuna hata mwenye afadhal

Rai yangu makonda achana na hizo ziara yako sisi hatuna haja nayo , tunataka umeme na maji ya uhakika

Hitimisho;
Kuna haja ya kufanya jambo 2025
Maji hayatoki,lakini bill kila mwezi ni kubwa,mpaka elfu 50 na 60.Maji yanayotusaidia ni ya kisima msikitini,nako wakati mwingine umeme umekata wa kupandisha maji kwenye tank.
 
Back
Top Bottom