Hii ni aibu kubwa kwa chadema.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Ukienda kwenye official website ya chadema unaweza usiamini kuwa unatembelea website ya chama
kikuu cha upinzani Tanzania na unajiuliza kama ni kweli chadema inashindwa vipi kuanzisha kitengo
maalum cha habari kwa ajili ya kuyasambaza yale yote wanayoyafanya kwenye Ground ili yaende kwenye Tanzania nzima kama si dunia nzima. kwenye website kumejaa matukio ambayo asimilia 90 yamepitwa na wakati ikiwemo idadi ya wabunge wa chadema kuwa ni watano tu na mengine ambayo yanakuacha ktk maswali mengi kuwa how serious is chadema in running itself if they can't even update their website for almost six months after the election?? mnafanya superb groundwork lakini mnashindwa kufikisha ujumbe wenu nchi nzima ni aibu kubwa ktk ulimwengu huu wa high tech.
 
Mimi nafikiri ujumbe wako ni mzuri sana, but the style of delivering your message is a bit awful..Give out suggestions and not mere complaints and unnecessary fabrications.
 
Njoo utembelee Web Site yangu kama wataka Website nzuri...

Unafikiri kule shamba wanatumia Website? Vita iko ardhini, alisema Malecela....

Last edited by a moderator:
Ukienda kwenye official website ya chadema unaweza usiamini kuwa unatembelea website ya chama
kikuu cha upinzani Tanzania na unajiuliza kama ni kweli chadema inashindwa vipi kuanzisha kitengo
maalum cha habari kwa ajili ya kuyasambaza yale yote wanayoyafanya kwenye Ground ili yaende kwenye Tanzania nzima kama si dunia nzima. kwenye website kumejaa matukio ambayo asimilia 90 yamepitwa na wakati ikiwemo idadi ya wabunge wa chadema kuwa ni watano tu na mengine ambayo yanakuacha ktk maswali mengi kuwa how serious is chadema in running itself if they can't even update their website for almost six months after the election?? mnafanya superb groundwork lakini mnashindwa kufikisha ujumbe wenu nchi nzima ni aibu kubwa ktk ulimwengu huu wa high tech.
Hiyo ni ya kwako,tembelea,Jamiiforums utakutana nasi. Shwainn wewe!
 
THe way jamaa anavyopresent maoni yake hana hisia za kibinadamu za kujenga chama. i think ni mtu wa the green party. Ana wazo zuri but the way anavyopresent machoni pa watu aweza kupigwa mawe hata na mkewe....
Approach siyo nzuri japo idea imesimama...
Learn more mjumbe wa the green tym hizi ni za macritical- thinkers kama ARISTOTLE,PLATO na wengineoooo
Usiogope kusema
 
Back
Top Bottom