Hii ndiyo historia Watanzania wengi tunahitaji kuijua, Ili tujue maisha ya nyuma yanaugumu kiasi gani.

Chance ndoto

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
2,989
7,092
Fikiria au imagine kwa dakika moja tu, kwamba ulizaliwa mwaka 1990,

Ulipofika miaka 14, ikatokea vita ya kwanza ya dunia, ambayo iliisha ukiwa na miaka 18, na watu zaidi ya vifo milioni 22 vilitokea.

Ukiwa na miaka 22, ugonjwa wa spanish flu global pandemic ukaua zaidi ya watu milioni 50 wewe bado upo.

Ukiwa na miaka 29, ile global economic crisis ikachapa, ilianzaga new york stock exchange ilipo collapse, hakuna ajira, hakuna chakula.

Ukiwa na miaka 33, Nazism ikaanza.

Ikaleta matokeo ya vita ya pili ya dunia ukiwa na miaka 39 na ikaisha ukiwa na miaka 45, watu zaidi ya milioni 60 wakafa, wewe bado upo.

Ukiwa na miaka 52 Vita vya korea vikaanza.

Ukiwa na miaka 64 vietnam war ikaja na ikaisha ukiwa na miaka 75.

Mfano mdogo tu, mtu aliyezaliwa mwaka 85, anafikiri babu zake hawakupitia wakati mgumu, hivyo hawaelewi nyakati ngumu, anasahau vita vingapi vizito vimepita machoni kwao na majanga mengi haswa magonjwa.

Leo hii tumepata ugonjwa wa corona umeisha mwaka mmoja , tumekua watu wa hofu baada ya kupoteza marafiki na ndugu zetu.

Tumekua watu wakulalamika baada ya kufanyia vitu kazi, kama ndio mara ya kwanza serikali duniani kuwa tofauti na wananchi wake, kukosa pesa, balaa la njaa ukosefu wa ajira.

Vijana wenzangu In the past, conditions were even worse, but yes, humanity survived these conditions and overcame them, nawaomba tusiwe watu wakurise vitu kuamsha sintofahamu,zaidi tupambane kurise sauti zetu

Believe me, better days await us.
 
Back
Top Bottom