Tetesi: Hii ndio picha ya Diamond iliyowekwa ikulu

Maandishi ya JF yamekuwa madogo sana. Sasa I don't know whether everyone is experiencing this problem. Please mods, can you do something to rectify the problem?
Kama unatumia simu inakubidi urekebishe nwenyewe hasa pale unapokwenda sehemu ya settings ndipo penye hiyo sehemu husika.
 
Ikulu wanakaa mashujaa na watu walio letea taifa aina ya kitu ambacho dunian hakuna. Diamond ameleta nini? Nikufuru hata kwa Mungu.
 
ameingizia serikali sh ngapi hyu dogo?
yupo vizuri ila sijui kama anastahili yote hayo lakini napita tu
ila nampenda sana diamond he is real inspirational

licha ya sauti sol ipo white house...je wameliingizia taifa la usa sh ngapi mpk wastahili hiyo heshima
 
nakupendanga bure, kwa michango yako ivi ulishajua kuwa nape na kitwanga plus makamba na jenista mhagama, na wwengine ni bure kabsa?
 
Hiyo picha ni kwakuwa aliipigia debe ccm angekuwa upinzani wala msingeiona si unajui hii nchi inaongzwa na siasa na unafiki
 
Back
Top Bottom