Tetesi: Hii ndio picha ya Diamond iliyowekwa ikulu

mzee mengi kaajiri watu wangapi
bhakresa je
mohamed dewji
rostam aziz
na wengineo wengi je picha zao zipo ikulu kama issue ni kuajiri watu?
Huyu sio mfanyabiashara huyu ni gwiji la sanaa lililofanya makubwa ambayo hayakuwahi kufanywa na wengine huko nyuma. Ni kijana kutoka uswahilini hasiyekulia maisha mazuri ila kawa mfano kwa vijana wengi wanaoamini mfumo mmoja wa kufanikiwa.
Diamond ni kama Filbert Bayi ni kama Juma Ikangaa ni kama Kanumba ni kama Magufuli ni kama Msuguli watu awa hawatokei mara nyingi ukiwapoteza ndio unajua umuhimu wake.
 
Lakini pia si kuna picha za vikatuni vya kuchora vimewekwa hapo Ikulu? kwa hiyo sio issue hususani kwa utawala huu wa Magufuli.
hivo vikatuni sio vya tingatinga kweli?!..kama ni vya tingatinga basi hujui thaman yake
 
Nawaangalia vijana na ushabiki wao duh,sina tatizo na hawa wakike maana ni kawaida tu ila nikiwafikiria wakiume najiuliza watakuja kua akina baba wa aina gani na wataongozaje familia zao nahisi maisha yanaongeza spidi kila sekunde.
 
Ebu mleta mada tuweke sawa hapa...ulikusudia ikulu ya taifa la tanzania au ikulu ya WCB?
 
Anastahili zaidi ya hivo,tena mimi nashauri hadi kwenye ofisi ya rais pia iwekwe tu,maana hakuna namna.
 
Back
Top Bottom