Mi ningemwambia anisaidie ndoo wakati tunaongea!Nikifika kwetu ningemwambia nimemsikia anisubirie pale pale bombani kesho yake!Atanibebea maji weee mpaka siku namwambia simtaki mbona angekua kashatumika vya kutosha!
Nimeipenda inanikumbusha mbali sanaWakuu mnakumbuka enzi hizo? Hii ndio ilikuwa inaitwa kutongozana. Nyingine zote miyeyusho. View attachment 21314
mimi nilifanyaga siku moja kidogo nimwagiwe maji.
Mimi nilikuwa naamka saa 10 alfajiri kufukuzia.. Kwani maji yalikuwa yanatoka kuanzia saa 10 mpaka 12 mara 3 kwa wiki...
wala siyo uongotumetoka mbali aiseee
Mimi nilikuwa naamka saa 10 alfajiri kufukuzia.. Kwani maji yalikuwa yanatoka kuanzia saa 10 mpaka 12 mara 3 kwa wiki...