hii ndio ghofu yangu ilionipelekea kuaga

Asalaam Aleikhum Nilham,
Pole sana bibie,
Allah siku zote yupo nawe,
Inshalaah Mwenyezi Mungu atashusha rehma zake juu yako!
 
s.aleykum....... akhbari zenu myoooote kwa ujumla ??? naituma post hii kwa mashaka na ghofu iliyoitawala nafsi yangu...... kama nilivyowajulisha awal nilikutwa na heart attack.....leo ile siku imewadia tena ya kwenda kuchukuwa my last xrays....nilizo andikiwa zilikuwa tatu nilipata ya pili mwezi uliopita ikawa tatizo bado lipo ikiwa imepunguwa 75% niliongezewa zaidi matibabu.....sasa siku imewadia ya kwenda kuchukuwa ya mwisho kesho na ikikutwa tatizo bado lipo jamani ndio nitahitajika kwa ionajili ya operattion kwakuwa wamesema itakuwa no way out...kwa ajili nikiendelea kukukaa ndio dawa zitazidisha kama tatizo limegoma kuondoka askum lkheyr inshallah .........

ningependa sana sana dua zenu...ndio maana nimewajulisha na nitakuwa offline about 5days i will miss u all..... may allah bless me to come back again inshallah....

urs nilham rashed........:thinking::thinking:
dada yangu NILHAM
kwa mola nakuombea
na wala usiwe na hofu
operation haitakuwepo
mola atakusaidia
utakutwa huna tatizo
na zawadi nimekuletea
ya matunda na juice
fruit.jpg
Fruit-Juice(1).jpg
 
Mungu mweza wa wa yote akuponye mpenzi wewe ni mtu mwema wa ajabu huwa niko sana nawe ila huwa sipendi kukuchokoza AFYA NJEMA UPATE UTOKE UKIWA KHERI NA UZIMA TELE NA USIUMWE TENA na uyafurahie maisha siku zote
 
Kuna mtu alinigusa katika maisha yangu kumuenzi nalitumia hili jina kama alias name ila alihusiani na jinsia yangu kaka.

ok poa ndugu yangu, dadayangu anaitwa hivi ndio maana nikauliza but tuko pamoja
 
Mwenyezi Mungu yupo pamoja na wewe. kila kitu kitakua sawa mamii.
 
Mungu ni mwema dada angu mpendwa, na anakuwazia mawazo ya amani, yupo pamoja nawe nyakati zote. Atakushindia na kukuwezesha katika mambo yote.
 
Mitihani ya mwenyezi mungu, but keep faith, you will b ok
tunakuombea kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom