...Hii mpya zaidi..

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,480
78,732
Tenda WEMA upate DIAMOND. Ukistaajab ya KWAITO utayaona ya KIDUKU. Mtegemea vya LULU hufa kama KANUMBA. Na Shukran ya FREEMASON ni KIFO......


...JF
 
Yap ni nzuri kwa utani ila mda mwingine jamani tuwe tunaangalia maana kuhusu kifo ni mambo mengine maana unahusisha jamii(ndugu,jamaa,marafiki n.k) na pia unamshirika mwenyezi mungu ambaye ndiye ajuaye password ya maisha yetu. Ni mtazamo tu wandugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom